Msomi mbobezi hahakiki hata anachoandikaπ€£πKuweni wabunifu, acheni kuzabaa
KKKT wanafuata midundo ya muziki baada ya kuona waumini wanawakimbia kwenda makanisa ya kiroho ambako kunena kwa lugha ni chambo cha kuwanasa wauminiππ€£Eti hata kkkt wananena kwa lugha!?? Yan walokole wamekiua kanisa kabisa
Umenikumbusha Mungu wa Muthoni Kenyaππ€£Ibada yaweza kuanzia Mwanzo Hadi mwisho bila mahubiri watu wakamwimbia Mungu kumsifu ,wakamsujudia,wakamuomba wakaondoka zao
Lutgeran ile ilikuwa ya kweli hii ya sasa ni genge la weziUmenikumbusha Lutheran ya zamani. Dah. Nyimbo za vitabuni zina raha yake aisee
KAZI ya Mungu zinafanywa Kwa Ulegevu na watu wasio na karama.
Mtu Hana karama ya uhubiri unampaje ahubiri, huoni atakera watu??
Mimi binafsi Nabarikiwa sana na nyimbo za kitabuni rather than miziki wanayoita kwaya, hasa kipindi hiki tunachoendea cha majilio, kuna nyimbo nzuri ambazo kwa mwaka tunaimba mara moja.
Msomi mbobeziπ€£πAlafu hizi Dini kubwa sasa Kama taasisi kubwa zimeshindwa kuyaendesha ni Bora wazibinafsishe
UNAMAANISHA NINI?Eti hata kkkt wananena kwa lugha!?? Yan walokole wamekiua kanisa kabisa
Msomi mbobeziπ€£π
Hivi hujagundua kuwa makanisa yamebinafsishwa kimtindo, bado hujui kuwa sadaka zinakwenda kwa genge fulani la wahuni!!!