Makanisa mengi hayana mvuto katika ibada

Makanisa mengi hayana mvuto katika ibada

Eti hata kkkt wananena kwa lugha!?? Yan walokole wamekiua kanisa kabisa
 
Eti hata kkkt wananena kwa lugha!?? Yan walokole wamekiua kanisa kabisa
KKKT wanafuata midundo ya muziki baada ya kuona waumini wanawakimbia kwenda makanisa ya kiroho ambako kunena kwa lugha ni chambo cha kuwanasa waumini😂🤣
 
Ibada yaweza kuanzia Mwanzo Hadi mwisho bila mahubiri watu wakamwimbia Mungu kumsifu ,wakamsujudia,wakamuomba wakaondoka zao
Umenikumbusha Mungu wa Muthoni Kenya😂🤣
 
Mimi binafsi Nabarikiwa sana na nyimbo za kitabuni rather than miziki wanayoita kwaya, hasa kipindi hiki tunachoendea cha majilio, kuna nyimbo nzuri ambazo kwa mwaka tunaimba mara moja.
 

Attachments

Alafu hizi Dini kubwa sasa Kama taasisi kubwa zimeshindwa kuyaendesha ni Bora wazibinafsishe
Msomi mbobezi🤣😂

Hivi hujagundua kuwa makanisa yamebinafsishwa kimtindo, bado hujui kuwa sadaka zinakwenda kwa genge fulani la wahuni!!!
 
Msomi mbobezi🤣😂

Hivi hujagundua kuwa makanisa yamebinafsishwa kimtindo, bado hujui kuwa sadaka zinakwenda kwa genge fulani la wahuni!!!


😀😀😀🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Wanahubiri toa toa toa ndugu ulichonacho kingine.
 
Kwahiyo unataka Nyumba ya Ibada ifanane na Casino?

Kama vipi endelea tu kwenda huko Casino,Dini ni imani na matendo,hujalazimishwa.
 
Unataka mvuto katika nyumba ya ibada?
Unamaanisha waimbaji wa kwaya wavae vimini kama bar!!
Au ukiingia tu kanisani upewe balimi baridi?



Sent from my SM-E625F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom