Nasali kimara korogwe wiki mbili zilizopita nilikuepo pale na napenda San San kusali hapo kwa ndugu mastai .
Sas ikafika saa ya sadaka zikatolewa sadaka zote namm nikatoa sadaka moja Kati ya sadak 7 HV zilizokuwepo ambazo ndizo za kila siku .mf ahadi na collect ,10 % ,shukrani za wiki ,shukrani za pekee ,sadak za Siri , malimbuko na zaka na sadak pia za jengo . baadae mchungji akatangaza kuwa kama una sadaka yoyote ile iletwe mbele madhabauni iletwe watu kama kumi HV wakapeleka mm kumbuka nilitoa sadak moja tu siku hyo bas akawaombea wakatoa sadaka wakarud kuketi mm nilikuwa nimebakiw na Kama elf 22 mfukoni nikaonaa niuchune tu mnk ndizo hella nategemeaa kutumia Kulipia bill ya maji na kulipa umeme pia
Bas bhna nakumbuka nikiwa katkat ya ibada inaendelea simu ikaita nikaifinyia siku ipokeaa jamaa kapiga tena Tena sikupokea nikamtumia msg kuwa Niko kanisani bas na yey akatuma msg ya kuomba nimsadie elf tatu hapo anashida sijamjibu ..nikamaliza ibada nikatoka zangu nikarud home jamaa ilivyofika saa sab akapiga Tena kuomba nimchekie elf tatu nikamjibu kuwa Sina kitu.ikafika jioni nikaenda kutazama game ya yanga na Costal .nikanunua soda pale kucheki mfukoni sina kitu yaani inshort pesa nilipoteza zote na Sina naman nikajiuliza au kawasababu sikutoa sadaka nn nikatoa kidgo .au yule jama aliyeniomba nimtumie elfu tatu nikamnyima na mm kupoteza hela zote
In shortly sadaka zinafanya Kaz Kuna watu wamegundua Siri ktk sadaka hzi ambazo ss hatuzioni naamini ktk ibada ya sadaka