T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Visadaka vyao haviwapeleki popote ndio maana wameamua waachane navyo wawapatie wenyewe wahitaji. Kwa nini unateseka kwa maamuzi yao?Badala mpambane na serikali zinazopandisha bei kila kitu eti mnapambana na kanisa ni dhambi yaani maisha yawachape eti sadaka tunaliwa??!!makanisa yapo miaka na miaka leo wewe umezaliwa juzi unatoa maneno kama hayo[emoji849][emoji849][emoji849] pambaneni na serikal zinazoongeza matozo hizo ndio zinafanya muone kanisa linakula hela mnatia aibu na umasikini wenu visadaka vyenu vitawapeleka wapi ??! Badilika wewe ni aibu hama amia fin ambayo haitoi sadaka usilalame tuu
Wewe ndugu Mbona Unang'ania Maisha maisha maisha.. Kwahiyo watu wasijadili Kisa Wana Maisha Magumu kuna Mtu ameweka Akaunti yake Katika hii mada na Maisha anayoishi. Jadili Mada Husika Usi attack Personal issuesMaisha yakiwapiga msikimbilie kusema makanisa, huo ni mfumuko wa bei shughulikeni na serikali zenu, au hamia din nyingine ambayo hawatoi sadaka
Kazi ya kutoa lawama ni ya watu wa makanisani. Jitu linazini linamlaumu shetani, linaiba linamlaumu shetani. Watu wengine sio watu wa lawama eti wailalamikie serikali, then what? Ndio wamechukua hatua wewe baki na lawama hapo mtume nabii mtumishiUkiona mtu anasononeka kama wewe ujue maisha yako ni magumu sana, usilalamikie kanisa lalamikia serikali kupandisha bei vitu, ndio jibu lako msisingizie makanisa coz miaka na miaka yapo hivyo hivyo wewe nani umezaliwa juzi tu eti unaliwa??!! Unajitafutia laana ungehama tu amia din nyingine ambayo haitoi sadaka
Ndio muhimu. Kama Mungu angekuwa na Dini basi kungekuwa na Muongozo mmoja Unaotuongoza Sote na Wala Kusingekuwa na MakundiTukirudi kwenye fikira dini zote tulizo nazo ni dini za mchongo tuu ni vile tuu tumezaliwa na kukuta wakubwa wetu wanaabudu.
Fikiri kabla ya biashara ya utumwa watu walikua hawajui uislam africa.
Fikiri kabla ya kuja wazungu watu walikua hawajui ukristo africa.
Je walioishi kabla hukumu zao zikoje.
Jambo tafakarishi tunaomba kwa pamoja juu ya kinga fulani ila hilo hilo jambo lina kwenda tupata, mfano ufaulu, nafuu ya mgonjwa, ajari.
Kikubwa tuishi kwa kuwajari wenzetu, tutende yaliyo mema.
Pole Sana hapi Ndipo unaweza Funguka Akili kwamba TunapigwaNijitolea kwa hali na mali kujenga shule moja ya kanisa mkoa fulani,Cha kushangaza nilimaliza chuo nilienda kuomba kazi pale NIKAKOSA nafasi walipewa Ndugu,na watoto wa wachungaji.Niliumia sana mpka leo nishabadili mfumo.
Never NeverKupitia binadamu unamuona Mungu.
Asamsaidiae mhitaji umkopesha Mungu nae atamlipa mara nyingi yake.
Hii kanuni wanaijua wazungu thus kadri wanavyotupa misaada zaidi ndivyo wao wanavyotajirika zaidi.
Inasikitisha sana...Mtu anapata Ajali ya Gari tena Unakuta ni Mahala pa Kijijini anaokolewa na Mwanakijiji hapo anamuwahisha Hospitali anapatiwa matibabu. Halafu kwa Sababu Akili timamu hana anachukua Pesa anaenda Kutoa Shukurani kwa Mchungaji au anapeleka Sadaka Ya Shukurani kanisani. Aliyemuokoa Kule Kijijini na Hospitali waliomtibu hawakumbuki
Mambo ya Iman hayana majibu ya kisiasaNever Never
Mungu Hapitii kwa Binadamu Kutoa Mambo yake. Mungu keshakuumba Na Kila Kitu unachohitaji hapa Duniani
Hata Washenzi wana Mali kuliko Unayemuomba Mungu. Hata Majambazi.. wezi wote wana Mali. Haina Maana Wamebarikiwa na Mungu
Na Hao wazungu wala Usiwaweke Hapa Maana Hao ndio Wanaleta Hadi Ushoga huku. Maana Yake wametumwa Na Mungu?? Hiyo misaada yao ina Masharti amabyo serikali haiwezi kukuambia Mwananchi
Nasali kimara korogwe wiki mbili zilizopita nilikuepo pale na napenda San San kusali hapo kwa ndugu mastai .
Sas ikafika saa ya sadaka zikatolewa sadaka zote namm nikatoa sadaka moja Kati ya sadak 7 HV zilizokuwepo ambazo ndizo za kila siku .mf ahadi na collect ,10 % ,shukrani za wiki ,shukrani za pekee ,sadak za Siri , malimbuko na zaka na sadak pia za jengo . baadae mchungji akatangaza kuwa kama una sadaka yoyote ile iletwe mbele madhabauni iletwe watu kama kumi HV wakapeleka mm kumbuka nilitoa sadak moja tu siku hyo bas akawaombea wakatoa sadaka wakarud kuketi mm nilikuwa nimebakiw na Kama elf 22 mfukoni nikaonaa niuchune tu mnk ndizo hella nategemeaa kutumia Kulipia bill ya maji na kulipa umeme pia
Bas bhna nakumbuka nikiwa katkat ya ibada inaendelea simu ikaita nikaifinyia siku ipokeaa jamaa kapiga tena Tena sikupokea nikamtumia msg kuwa Niko kanisani bas na yey akatuma msg ya kuomba nimsadie elf tatu hapo anashida sijamjibu ..nikamaliza ibada nikatoka zangu nikarud home jamaa ilivyofika saa sab akapiga Tena kuomba nimchekie elf tatu nikamjibu kuwa Sina kitu.ikafika jioni nikaenda kutazama game ya yanga na Costal .nikanunua soda pale kucheki mfukoni sina kitu yaani inshort pesa nilipoteza zote na Sina naman nikajiuliza au kawasababu sikutoa sadaka nn nikatoa kidgo .au yule jama aliyeniomba nimtumie elfu tatu nikamnyima na mm kupoteza hela zote
In shortly sadaka zinafanya Kaz Kuna watu wamegundua Siri ktk sadaka hzi ambazo ss hatuzioni naamini ktk ibada ya sadaka
Unafikiri Watapenda Hii mada. Hata wale wenye wanaisimamia miradi wanaonufaika Kimoja au kingine hawawezi kupenda maana Wanaona Kabisa hakuna Pesa Anayopewa Mungu wanakula WaoWatakuja members wanaomiliki makanisa then watacomment "Tafuta hela uache kulalamika"
Kila atakakohamia atakuta hadithi ni hiyo hiyo....Ni Kama Kuna ujumbe fulani Unataka kuufikisha lakini kwa andiko hili wengi watapoteza mwelekeo..!
Mungu Katika Biblia ameagiza 'Nitoleeni Fungu la Kumi sababu hiyo ni haki yangu, na akaongeza nijaribuni Kwa njia hiyo Muone kama sitawafungulia madirisha ya Mbinguni.!
Kuna sehemu ameagiza 'pandeni juu milimani mkalete miti mnijengee Kanisa...!
Yote hayo ili Jina Lake Litukuzwe.
Ukitafakari Hayo Utagundua Michango na Sadaka kwa Mungu siyo Hiari ni Lazima...!
Nafikiri shida yako mtoa Mada ni Baadhi wa wanaokusanya hiyo michango na Sadaka Hawatumii kwa Malengo Yaliyokusudiwa...!
Ushauri : Wewe Hapo Ulipo Ukiona Sadaka zako Zinapigwa ...Hama tu.
Ni sawa na Kusema ukijadili mambo ya Mungu unajitakia laana. Hizi ni Statement zilizopo sana Huko Kwenye mahubiri ili wazidi kukufunga AkiliMambo ya Iman hayana majibu ya kisiasa
Ni Masikitiko makubwa. Hasa Sisi Ngozi nyeusi tumepumbazwa sana mpka Pale watu watakapojua UkweliInasikitisha sana...
Anakuambia amepona kwa uwezo wa Mungu kama vile alijipeleka mwenye hospitali...
Pole sana....shule za kanisa na msikiti ni majanga.Mwenyewe hiki kiingereza changu sikielewi ...
Yaani hata cjui nimeamdika nini [emoji848][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji23]
NB: Nimesomea shule ya kanisa na msikiti.
Au cjasoma. Au .......
Imani haishikwi kisiasa.Ni sawa na Kusema ukijadili mambo ya Mungu unajitakia laana. Hizi ni Statement zilizopo sana Huko Kwenye mahubiri ili wazidi kukufunga Akili