Makanisa ya kikristo hayakemei maovu na dhambi matokeo yake dhambi zinazoeleka, Sishangai ongezeko kubwa la wanaume wanaoacha kwenda makanisani

Makanisa ya kikristo hayakemei maovu na dhambi matokeo yake dhambi zinazoeleka, Sishangai ongezeko kubwa la wanaume wanaoacha kwenda makanisani

Hii imekujaje jamani?

Mbona panic jamani😅😅huyo aliandika hapo pambana nae .
Nimeandika ili asome. Waislamu ni safi, wanakemea dhambi. Kwa wote hawana dhambi
Hizo mahakama za kadhi zipo kwa ajili ya kumhukumu nani?
 
Nimeandika ili asome. Waislamu ni safi, wanakemea dhambi. Kwa wote hawana dhambi
Hizo mahakama za kadhi zipo kwa ajili ya kumhukumu nani?
Hakuna aliyekamilika katika jamii ,watu wana tabia tofauti ndo maana kuna hukumu hata adhabu
 
Siku hizi hadi wasabato tumevamiwa kanisani

Mabinti wana marasta, lipstic na vimini vya kufa mtu

Makanisa yamepungua sana nguvu za kukemea maovu.

Zamani kwenye usabato ulikuwa kanisani uingii ukiwa hivyo.
Dunia ya dot com mjomba.Fashion mbele maadili nyuma.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli makanisa mengi yamejisahau, yamepooza

Wao wanachotaka ni SADAKA TU, hawajali kuponya roho za watu
 
Back
Top Bottom