The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Waende kanisani kufanya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeandika ili asome. Waislamu ni safi, wanakemea dhambi. Kwa wote hawana dhambiHii imekujaje jamani?
Mbona panic jamani😅😅huyo aliandika hapo pambana nae .
Wapi huko Wakatoliki wameruhusu ushoga. Tuthibitishie tafadhali.hapa kuna makanisa ya kikatoliki yanafungisha ndoa za jinsia moja
Hakuna aliyekamilika katika jamii ,watu wana tabia tofauti ndo maana kuna hukumu hata adhabuNimeandika ili asome. Waislamu ni safi, wanakemea dhambi. Kwa wote hawana dhambi
Hizo mahakama za kadhi zipo kwa ajili ya kumhukumu nani?
Dunia ya dot com mjomba.Fashion mbele maadili nyuma.Siku hizi hadi wasabato tumevamiwa kanisani
Mabinti wana marasta, lipstic na vimini vya kufa mtu
Makanisa yamepungua sana nguvu za kukemea maovu.
Zamani kwenye usabato ulikuwa kanisani uingii ukiwa hivyo.
Mmmmh.Bora huyo anavaa mlegezo kanisani kwetu tunavaa vitaulo tu