T The Evil Genius JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 6,017 Reaction score 19,506 Aug 26, 2023 #21 Waende kanisani kufanya nini?
Hoffenheim JF-Expert Member Joined Dec 25, 2022 Posts 1,077 Reaction score 2,505 Aug 26, 2023 #22 Accumen Mo said: Hii imekujaje jamani? Mbona panic jamani😅😅huyo aliandika hapo pambana nae . Click to expand... Nimeandika ili asome. Waislamu ni safi, wanakemea dhambi. Kwa wote hawana dhambi Hizo mahakama za kadhi zipo kwa ajili ya kumhukumu nani?
Accumen Mo said: Hii imekujaje jamani? Mbona panic jamani😅😅huyo aliandika hapo pambana nae . Click to expand... Nimeandika ili asome. Waislamu ni safi, wanakemea dhambi. Kwa wote hawana dhambi Hizo mahakama za kadhi zipo kwa ajili ya kumhukumu nani?
Sang'udi JF-Expert Member Joined May 16, 2016 Posts 9,138 Reaction score 22,236 Aug 26, 2023 #23 R-K-O said: hapa kuna makanisa ya kikatoliki yanafungisha ndoa za jinsia moja Click to expand... Wapi huko Wakatoliki wameruhusu ushoga. Tuthibitishie tafadhali.
R-K-O said: hapa kuna makanisa ya kikatoliki yanafungisha ndoa za jinsia moja Click to expand... Wapi huko Wakatoliki wameruhusu ushoga. Tuthibitishie tafadhali.
Accumen Mo JF-Expert Member Joined May 15, 2022 Posts 18,036 Reaction score 39,882 Aug 26, 2023 #24 Hoffenheim said: Nimeandika ili asome. Waislamu ni safi, wanakemea dhambi. Kwa wote hawana dhambi Hizo mahakama za kadhi zipo kwa ajili ya kumhukumu nani? Click to expand... Hakuna aliyekamilika katika jamii ,watu wana tabia tofauti ndo maana kuna hukumu hata adhabu
Hoffenheim said: Nimeandika ili asome. Waislamu ni safi, wanakemea dhambi. Kwa wote hawana dhambi Hizo mahakama za kadhi zipo kwa ajili ya kumhukumu nani? Click to expand... Hakuna aliyekamilika katika jamii ,watu wana tabia tofauti ndo maana kuna hukumu hata adhabu
K kikuna JF-Expert Member Joined May 26, 2015 Posts 2,573 Reaction score 2,807 Aug 26, 2023 #25 Hili nalo mkalitazame....
M Mc PIPI JF-Expert Member Joined Feb 25, 2020 Posts 325 Reaction score 442 Aug 26, 2023 #26 Hapo sawa,na mm nimeona. Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
M Mc PIPI JF-Expert Member Joined Feb 25, 2020 Posts 325 Reaction score 442 Aug 26, 2023 #27 FRESHMAN said: Siku hizi hadi wasabato tumevamiwa kanisani Mabinti wana marasta, lipstic na vimini vya kufa mtu Makanisa yamepungua sana nguvu za kukemea maovu. Zamani kwenye usabato ulikuwa kanisani uingii ukiwa hivyo. Click to expand... Dunia ya dot com mjomba.Fashion mbele maadili nyuma. Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
FRESHMAN said: Siku hizi hadi wasabato tumevamiwa kanisani Mabinti wana marasta, lipstic na vimini vya kufa mtu Makanisa yamepungua sana nguvu za kukemea maovu. Zamani kwenye usabato ulikuwa kanisani uingii ukiwa hivyo. Click to expand... Dunia ya dot com mjomba.Fashion mbele maadili nyuma. Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
M Mc PIPI JF-Expert Member Joined Feb 25, 2020 Posts 325 Reaction score 442 Aug 26, 2023 #28 Econometrician said: Bora huyo anavaa mlegezo kanisani kwetu tunavaa vitaulo tu Click to expand... Mmmmh. Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Econometrician said: Bora huyo anavaa mlegezo kanisani kwetu tunavaa vitaulo tu Click to expand... Mmmmh. Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 28,916 Reaction score 40,479 Aug 26, 2023 #29 Ni kweli makanisa mengi yamejisahau, yamepooza Wao wanachotaka ni SADAKA TU, hawajali kuponya roho za watu
Ni kweli makanisa mengi yamejisahau, yamepooza Wao wanachotaka ni SADAKA TU, hawajali kuponya roho za watu