KERO Makanisa ya kilokole ni hatari, yanasambaratisha familia

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
hao sio wachungaji ni wachumia tumbo, mchungaji ni mbeba siri, za Mungu nje ya hapo ni uchonganishi
 
Familia zina mambo meng, isijekuwa wake ndo wanatanguliza waume zao kwa lazima.
 
Wazeee wa Jioooooooooooniiiiii ya Leo ............
 

Mbona naona kama mume ndiyo aliyeuq ndoa kqq kumlazimisha mume waende kwa wapiga lamla.kitu ambacho ukienda kwa mganga wa kiwnyeji huwa hakuachi hivi hivi lazima akurushie kitu
 
Wakatoriki waabudu mizimu na Ushirikina hili umelithibitisha katika andiko hili. Yaani ndio maana huwa nasema Yesu WA wakatoriki bado Yuko msalabani huwa anazaliwa Christmas anakufa pasaka anafufukakaga siku ya tatu pasaka Kisha anakufa Tena yaani anarudia hiyo cycle hapo juu. Inakuwaje anashindwa KUVUNJA LAANA ya kifo mpaka asaidiwe na mizimu?. NENO la Mungu linasema Nini kuhusiana na mazoea ya kuwasiliana na roho WAOVU 18:10Hesabu
 
Kama ambavyo watu Huwa wanasema humu kuwa wajinga ndio waliwao wanaaminije ishu kama hizo za kutengeneza?
 
Kwa Hiyo wewe unaona ilikua sawa Kwa Matoriki Tena mwenyekiti wa jumuiya kwenda Kwa Mganga wa Kienyeji...!?

Sasa huko Kanisani wanaenda kufanya Nini..!?
Na hapo unamlaumu mlokole.
 
Kwenye hii stori Yako...! Hebu fanya uyatoe hayo Makanisa yote! Wala sioni yanaingiaje hapo.

Tatizo hapo ni imani potofu ya mume kuwa Vifo vya Wale Waume eti ni kwa sababu ukoo wa mke una Mkosi.!

Kosa La pili, kuamini mganga ndio atakuwa suluhisho au kufanya mambo Ya Kimila.

Hivyo, iwapo ndoa hii imesambaratika basi Tatizo ni hicho Kidume.Kwa kuwa Makanisa yote hayo hayasapoti usangoma ama mambo Ya Kimila.
 
Nimeshuhudia a noble family ikipiteza mwelekeo na mpasuko mwishowe aibu..kisa Ulokole....
Ulokole ukiingia nyumbani kwenu ni mwanzo wa vurugu.
 
Naungana na walokole wote wanaofaidika kupitia uwepo wa wajinga wajinga kwenye haya makanisa ya kilokole.
 
Watu wamekufa kwenye matukio ambayo sio wao wa kwanza kufa halafu unataka ukaangalie kwa nani eti? Yaani ujinga wako huu ndio unataka utumie kutukana imani za ndugu zako aisee🤣🤣🤣🤣🤣

Hapa wewe ndio mume mwenyewe na tunashukuru kwa kufahamu jinsi akili yako ilivyojaa giza na matope.
 
Ukitaka kujua hiyo issue km ni curse - laana anza Ku-trace family background .


It is true kuna familia ukioa unafilisika ,unakufa n.k

Mimi sio muumini wa imani potovu Ila naamini katika kufatilia kiini cha tatizo.

Kwenda kwa sangoma haifai Ila kufanya utamaduni kuvunja curse inafaa.


Mke yupo sahihi 90% na mume 60% yupo sahihi.
 
Mleta mada, sijaona hatari ya kanisa hapo, Kwa mganga anaezika watu wamekaa?enewei, Ndani ya familia kuna siri watengeneze maisha yaendelee.
 
Sasa hapo iliyosambaratisha ndoa ni kanisa la kilokole au huyo mwanaume azonto anayeamini ushirikina?hajui life span ya mwanamme na mwanamke ni tofauti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…