KERO Makanisa ya kilokole ni hatari, yanasambaratisha familia

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Miaka ya nyuma wakamtokea mother huko kijijin kuwa anatakiwa alete watoto wote kwa mchungaji na yeye maana nabii kaoteshwa asipofanya hivyo atakufa yeye hana mwezi na kisha tufuate sisi. Maza akakomaa balaa. Nikamwambia we kama unakufa kufa bana mi sifanyi huo ujinga. Mchungaji akajichanganya akanipigia simu. Nilimtukana matusi yote duniani. Nikamwambia mi siend polisi jombaa ila kama nikufa labda nianze mimi. Maana akifa yeyote namchomea ndani yeye na familia yake. Imepita miaka 14 cjasikia tena ule upuuzi. Hawa watu wanapenda kutisha ili wakule hela. We mchenjie wanakuwa wapole.
 
Nimesoma hapo naona kuna ulokole, ukatoliki na ushirikina ila tatizo ni ujinga.
Yale yale ya Konyagi ukinywa na maji unaua maini, Kvant ukinywa na maji unaua figo
Kisungura ukinywa na maji unapata matatizo ya moyo. Haya maji ni tatizo.
 
Hii nchi ina mijinga mijinga mingi sn mtu kukataa imani asiyoiamini ya waganga na mila yanashambuliwa makanisa ya kilokole mbona kuna watu si walokole kbs bt hawaamini mambo ya waganga na hawaendi vp nao unawabatiza kuwa walokole nimesoma mara mbili kuona kosa la kanisa ni lipi sjaona kbs labda aliyeelewa anijuze
 
Habari Wana JF?. Hii ni true story kabisa. Kuna familia ya jirani yangu imesambaratika sababu ya MAKANISA ya KILOKOLE japo kisa kilianzia mbali sana. Mume mtu alikuwa anamtuhumu mkewe kuwa kwenye ukoo wao kuna mkosi WA wanawake kufiwa na waume zao.

Katika familia ya huyo mke mtu, kuna wanawake sita na wanne kati Yao walishafiwa na waume zao kasoro huyo mke mtu ninayemzungumzia na mdogo wake WA mwisho tu, ila dada zao wote waume zao walishafariki Kwa sababu mbalimbali wengine Ajali, magonjwa nk.

Sasa mume mtu alipoona Hilo swala akaingia na wasiwasi akamuuliza mkewe mbona kwenu kuna kasumba ya wanawake kufiwa na waume zao isije ikawa Mimi ndo nafwata coz ikumbukwe katika familia ya mke mtu walikuwa wamebaki wawili tu ambao sio wajane.

Mume mtu akamuomba mkewe waende Kwa mganga au wakafanye Mila kijijini Ili kama kuna mkosi kwenye familia Yao wamtafute suluhisho.

Lakini mke mtu sababu ni mlokole na amshika dini kupita maelezo, akakataa katakata kutafuta suluhisho la tatizo Hilo Kwa waganga au kufanya Mila. Kwanza akamwambia mumewe kuwa yeye anaamini kwao hakuna mikosi yoyoye na hata hao dada zake wajane , waume zao walikufa vifo vya kawaida kama wanadamu wengine tu.

Jambo hili lilimkasirisha sana mume mtu, na akaona mkewe kama anachukulia poa suala la kifo sabubu tu kashika dini kupita kiasi.

Isitoshe mke alishahama kanisa katoliki walilokuwa wanasali, na kahamisha watoto wote kwenda hilo kanisa la KILOKOLE japo watoto ni wakatoliki pia, walibatizwa, walipata komunio na kipaimara. Jambo hili lilimkasirisha sana mume mtu baye ni mkatoliki mzuri na kiongozi kwenye jumuiya.

Hivi sasa ninavyozungumza ndoa hiyo imekufa.

MAKANISA ya KILOKOLE ni HATARI sana hasa Kwa akina mama na watu ambao hawana elimu ya kutosha kuchanganua mambo Kwa jicho la tatu.
Kuna fala anaumwa hospital pale Rabinisia,muhimbili,vipimo vyote hana tatizo, mkewe kaenda kwa mganga kigoma kaambiwa mumewe karogwa kzini amlete haraka amtibie,akipona atamlipa, jamaa anjifanya ye mlokore aendi kwa mganga, makanisa ya maombezi kaenda haijasaidia.

Namuona akiondoka na ulokole wake
 
Habari Wana JF?. Hii ni true story kabisa. Kuna familia ya jirani yangu imesambaratika sababu ya MAKANISA ya KILOKOLE japo kisa kilianzia mbali sana. Mume mtu alikuwa anamtuhumu mkewe kuwa kwenye ukoo wao kuna mkosi WA wanawake kufiwa na waume zao.

Katika familia ya huyo mke mtu, kuna wanawake sita na wanne kati Yao walishafiwa na waume zao kasoro huyo mke mtu ninayemzungumzia na mdogo wake WA mwisho tu, ila dada zao wote waume zao walishafariki Kwa sababu mbalimbali wengine Ajali, magonjwa nk.

Sasa mume mtu alipoona Hilo swala akaingia na wasiwasi akamuuliza mkewe mbona kwenu kuna kasumba ya wanawake kufiwa na waume zao isije ikawa Mimi ndo nafwata coz ikumbukwe katika familia ya mke mtu walikuwa wamebaki wawili tu ambao sio wajane.

Mume mtu akamuomba mkewe waende Kwa mganga au wakafanye Mila kijijini Ili kama kuna mkosi kwenye familia Yao wamtafute suluhisho.

Lakini mke mtu sababu ni mlokole na amshika dini kupita maelezo, akakataa katakata kutafuta suluhisho la tatizo Hilo Kwa waganga au kufanya Mila. Kwanza akamwambia mumewe kuwa yeye anaamini kwao hakuna mikosi yoyoye na hata hao dada zake wajane , waume zao walikufa vifo vya kawaida kama wanadamu wengine tu.

Jambo hili lilimkasirisha sana mume mtu, na akaona mkewe kama anachukulia poa suala la kifo sabubu tu kashika dini kupita kiasi.

Isitoshe mke alishahama kanisa katoliki walilokuwa wanasali, na kahamisha watoto wote kwenda hilo kanisa la KILOKOLE japo watoto ni wakatoliki pia, walibatizwa, walipata komunio na kipaimara. Jambo hili lilimkasirisha sana mume mtu baye ni mkatoliki mzuri na kiongozi kwenye jumuiya.

Hivi sasa ninavyozungumza ndoa hiyo imekufa.

MAKANISA ya KILOKOLE ni HATARI sana hasa Kwa akina mama na watu ambao hawana elimu ya kutosha kuchanganua mambo Kwa jicho la tatu.
Mleta mada, sina hakika na hii story. Kwamba kwa mganga ndipo pa uhakika wa utatuzi wa ushirikina na mikosi. Pili, sioni sababu ya kutaja dhehebu la awali la hiyo familia, kama sio chuki binafsi na hilo Kanisa.
 
Habari Wana JF?. Hii ni true story kabisa. Kuna familia ya jirani yangu imesambaratika sababu ya MAKANISA ya KILOKOLE japo kisa kilianzia mbali sana. Mume mtu alikuwa anamtuhumu mkewe kuwa kwenye ukoo wao kuna mkosi WA wanawake kufiwa na waume zao.

Katika familia ya huyo mke mtu, kuna wanawake sita na wanne kati Yao walishafiwa na waume zao kasoro huyo mke mtu ninayemzungumzia na mdogo wake WA mwisho tu, ila dada zao wote waume zao walishafariki Kwa sababu mbalimbali wengine Ajali, magonjwa nk.

Sasa mume mtu alipoona Hilo swala akaingia na wasiwasi akamuuliza mkewe mbona kwenu kuna kasumba ya wanawake kufiwa na waume zao isije ikawa Mimi ndo nafwata coz ikumbukwe katika familia ya mke mtu walikuwa wamebaki wawili tu ambao sio wajane.

Mume mtu akamuomba mkewe waende Kwa mganga au wakafanye Mila kijijini Ili kama kuna mkosi kwenye familia Yao wamtafute suluhisho.

Lakini mke mtu sababu ni mlokole na amshika dini kupita maelezo, akakataa katakata kutafuta suluhisho la tatizo Hilo Kwa waganga au kufanya Mila. Kwanza akamwambia mumewe kuwa yeye anaamini kwao hakuna mikosi yoyoye na hata hao dada zake wajane , waume zao walikufa vifo vya kawaida kama wanadamu wengine tu.

Jambo hili lilimkasirisha sana mume mtu, na akaona mkewe kama anachukulia poa suala la kifo sabubu tu kashika dini kupita kiasi.

Isitoshe mke alishahama kanisa katoliki walilokuwa wanasali, na kahamisha watoto wote kwenda hilo kanisa la KILOKOLE japo watoto ni wakatoliki pia, walibatizwa, walipata komunio na kipaimara. Jambo hili lilimkasirisha sana mume mtu baye ni mkatoliki mzuri na kiongozi kwenye jumuiya.

Hivi sasa ninavyozungumza ndoa hiyo imekufa.

MAKANISA ya KILOKOLE ni HATARI sana hasa Kwa akina mama na watu ambao hawana elimu ya kutosha kuchanganua mambo Kwa jicho la tatu.
Hapana hapa tatizo sio kanisa la kilokole bali ni hisia na tuhuma za mikosi ya Wanaume kufa kwenye ukoo wa mwanamke
Cha pili ni msimamo wa mwanamke kupinga mambo ya kishirikina kwenye jambo kama hilo.. Nampongeza sana.. Maana huko wangeenda kupigwa mpaka wachakae
Cha tatu ni maelewano na misimamo kati yao..
Kila mmoja alijiona yuko sahihi na hakuna aliyekubali kujishusha kitu ambacho si kizuri kwenye mahusiano
Nina mtazamo hasi kwenye hayo makanisa lakini kwenye hili nawatetea
 
MAKANISA ya KILOKOLE ni HATARI sana hasa Kwa akina mama na watu ambao hawana elimu ya kutosha kuchanganua mambo Kwa jicho la tatu.
Nadhan serikali iingilie kati, watu wanaumizwa sana aisee
 
Habari Wana JF?. Hii ni true story kabisa. Kuna familia ya jirani yangu imesambaratika sababu ya MAKANISA ya KILOKOLE japo kisa kilianzia mbali sana. Mume mtu alikuwa anamtuhumu mkewe kuwa kwenye ukoo wao kuna mkosi WA wanawake kufiwa na waume zao.

Katika familia ya huyo mke mtu, kuna wanawake sita na wanne kati Yao walishafiwa na waume zao kasoro huyo mke mtu ninayemzungumzia na mdogo wake WA mwisho tu, ila dada zao wote waume zao walishafariki Kwa sababu mbalimbali wengine Ajali, magonjwa nk.

Sasa mume mtu alipoona Hilo swala akaingia na wasiwasi akamuuliza mkewe mbona kwenu kuna kasumba ya wanawake kufiwa na waume zao isije ikawa Mimi ndo nafwata coz ikumbukwe katika familia ya mke mtu walikuwa wamebaki wawili tu ambao sio wajane.

Mume mtu akamuomba mkewe waende Kwa mganga au wakafanye Mila kijijini Ili kama kuna mkosi kwenye familia Yao wamtafute suluhisho.

Lakini mke mtu sababu ni mlokole na amshika dini kupita maelezo, akakataa katakata kutafuta suluhisho la tatizo Hilo Kwa waganga au kufanya Mila. Kwanza akamwambia mumewe kuwa yeye anaamini kwao hakuna mikosi yoyoye na hata hao dada zake wajane , waume zao walikufa vifo vya kawaida kama wanadamu wengine tu.

Jambo hili lilimkasirisha sana mume mtu, na akaona mkewe kama anachukulia poa suala la kifo sabubu tu kashika dini kupita kiasi.

Isitoshe mke alishahama kanisa katoliki walilokuwa wanasali, na kahamisha watoto wote kwenda hilo kanisa la KILOKOLE japo watoto ni wakatoliki pia, walibatizwa, walipata komunio na kipaimara. Jambo hili lilimkasirisha sana mume mtu baye ni mkatoliki mzuri na kiongozi kwenye jumuiya.

Hivi sasa ninavyozungumza ndoa hiyo imekufa.

MAKANISA ya KILOKOLE ni HATARI sana hasa Kwa akina mama na watu ambao hawana elimu ya kutosha kuchanganua mambo Kwa jicho la tatu.
Kwa nini haujui kueleza jambo?Unatakiwa urudie darasa la pili.
 
Mke kukataa kwenda kwa sangoma haitoshelezi kuhitimisha kuwa makanisa ya kilokole ni hatari.

Kilichosambaratisha hiyo ndoa ni imani potofu ya huyo mume mshirikina
Yaan hata mimi nimeshangaa sana ulokole unaingiaje hapa???
Hapa kuna ishu 2 na zote ni ushirkina na zoote hazimuhusu mwanamke bal mwanaume.
We mwamba tueleze tu una shida gani tujue tunakusaidiaje ila waache walokole na ulokole wao
 
Habari Wana JF?. Hii ni true story kabisa. Kuna familia ya jirani yangu imesambaratika sababu ya MAKANISA ya KILOKOLE japo kisa kilianzia mbali sana. Mume mtu alikuwa anamtuhumu mkewe kuwa kwenye ukoo wao kuna mkosi WA wanawake kufiwa na waume zao.

Katika familia ya huyo mke mtu, kuna wanawake sita na wanne kati Yao walishafiwa na waume zao kasoro huyo mke mtu ninayemzungumzia na mdogo wake WA mwisho tu, ila dada zao wote waume zao walishafariki Kwa sababu mbalimbali wengine Ajali, magonjwa nk.

Sasa mume mtu alipoona Hilo swala akaingia na wasiwasi akamuuliza mkewe mbona kwenu kuna kasumba ya wanawake kufiwa na waume zao isije ikawa Mimi ndo nafwata coz ikumbukwe katika familia ya mke mtu walikuwa wamebaki wawili tu ambao sio wajane.

Mume mtu akamuomba mkewe waende Kwa mganga au wakafanye Mila kijijini Ili kama kuna mkosi kwenye familia Yao wamtafute suluhisho.

Lakini mke mtu sababu ni mlokole na amshika dini kupita maelezo, akakataa katakata kutafuta suluhisho la tatizo Hilo Kwa waganga au kufanya Mila. Kwanza akamwambia mumewe kuwa yeye anaamini kwao hakuna mikosi yoyoye na hata hao dada zake wajane , waume zao walikufa vifo vya kawaida kama wanadamu wengine tu.

Jambo hili lilimkasirisha sana mume mtu, na akaona mkewe kama anachukulia poa suala la kifo sabubu tu kashika dini kupita kiasi.

Isitoshe mke alishahama kanisa katoliki walilokuwa wanasali, na kahamisha watoto wote kwenda hilo kanisa la KILOKOLE japo watoto ni wakatoliki pia, walibatizwa, walipata komunio na kipaimara. Jambo hili lilimkasirisha sana mume mtu baye ni mkatoliki mzuri na kiongozi kwenye jumuiya.

Hivi sasa ninavyozungumza ndoa hiyo imekufa.

MAKANISA ya KILOKOLE ni HATARI sana hasa Kwa akina mama na watu ambao hawana elimu ya kutosha kuchanganua mambo Kwa jicho la tatu.
Wife alijitoa ufaham akaenda kusali kwa walokole, huku akijua background yangu me sina time na hizi habari za makanisa wala misikiti, bwana wee msela nkawaza kichizi jioni ya jumapili hiyo kuna mwana mmoja mfia dini kanitumia text nanukuu "Mr..., hongera sana Mungu ameingia ktk familia yako"

Nkamjibu shortly "its first and last bro" hakurudi tena kwani alijua vema mfumo wangu wa maisha, mwana mwingine tena akanambia, " boss tunakusubiri na wew kanisani" nkamwambia "hata huyo yawezekana msimwone tena kanisani kwenu"

Narudi jioni wife nkamwambia, mke wangu ni jambo la heri leo umefanya, lakin chini ya utawala wangu, sitaki nikuone ukisali kanisa la walokole,

Akanambia kwakua ndo napapenda lazima nisali huko, nkamuuliza , uliwahi kuomba mungu akupatie mume mwema? Akasema ndio, nkamuuliza mume mwema ndio mim? Akasema ndio, naami kama baba wa familia nkahitimisha, kama mim nmetokana na maombi basi leo maelekezo yangu ni kama ifuatavyo, sitaki kuona unasali kwa walokole.

Na ikawa mwisho, maisha yanasonga na Mungu asie tia viburi wanawake tupo nae bega kwa bega,

NB: ukiharibu mwanzo wa safari utayaishi majuto
 
Kwahiyo point yako ni mama kukataa kwenda kwa mganga sio? Mbona hii wengi tu wangekataa hata kama sio walokole?
 
Habari Wana JF?. Hii ni true story kabisa. Kuna familia ya jirani yangu imesambaratika sababu ya MAKANISA ya KILOKOLE japo kisa kilianzia mbali sana. Mume mtu alikuwa anamtuhumu mkewe kuwa kwenye ukoo wao kuna mkosi WA wanawake kufiwa na waume zao.

Katika familia ya huyo mke mtu, kuna wanawake sita na wanne kati Yao walishafiwa na waume zao kasoro huyo mke mtu ninayemzungumzia na mdogo wake WA mwisho tu, ila dada zao wote waume zao walishafariki Kwa sababu mbalimbali wengine Ajali, magonjwa nk.

Sasa mume mtu alipoona Hilo swala akaingia na wasiwasi akamuuliza mkewe mbona kwenu kuna kasumba ya wanawake kufiwa na waume zao isije ikawa Mimi ndo nafwata coz ikumbukwe katika familia ya mke mtu walikuwa wamebaki wawili tu ambao sio wajane.

Mume mtu akamuomba mkewe waende Kwa mganga au wakafanye Mila kijijini Ili kama kuna mkosi kwenye familia Yao wamtafute suluhisho.

Lakini mke mtu sababu ni mlokole na amshika dini kupita maelezo, akakataa katakata kutafuta suluhisho la tatizo Hilo Kwa waganga au kufanya Mila. Kwanza akamwambia mumewe kuwa yeye anaamini kwao hakuna mikosi yoyoye na hata hao dada zake wajane , waume zao walikufa vifo vya kawaida kama wanadamu wengine tu.

Jambo hili lilimkasirisha sana mume mtu, na akaona mkewe kama anachukulia poa suala la kifo sabubu tu kashika dini kupita kiasi.

Isitoshe mke alishahama kanisa katoliki walilokuwa wanasali, na kahamisha watoto wote kwenda hilo kanisa la KILOKOLE japo watoto ni wakatoliki pia, walibatizwa, walipata komunio na kipaimara. Jambo hili lilimkasirisha sana mume mtu baye ni mkatoliki mzuri na kiongozi kwenye jumuiya.

Hivi sasa ninavyozungumza ndoa hiyo imekufa.

MAKANISA ya KILOKOLE ni HATARI sana hasa Kwa akina mama na watu ambao hawana elimu ya kutosha kuchanganua mambo Kwa jicho la tatu.

Ingawa kuna ukweli, ila kwenye hii Hadith Kanisa la kilokole limeingiaje ? Kwako katoliki webariki kwenda kwa waganga na kufanya Ibada za Mila?
 
Kuna vitu vingi vya kuwapiga spana walokole (bhalokole)
Ila kwa hilo swala la kwenda kwa waganga na ujinga wa imani potofu nalipinga sababu ni ujinga tu kuimagine vitu ambavyo havipo,

Tafuta chanzo cha vifo vya hao wengine utakuja kujua tatizo tofauti!
 
Habari Wana JF?. Hii ni true story kabisa. Kuna familia ya jirani yangu imesambaratika sababu ya MAKANISA ya KILOKOLE japo kisa kilianzia mbali sana. Mume mtu alikuwa anamtuhumu mkewe kuwa kwenye ukoo wao kuna mkosi WA wanawake kufiwa na waume zao.

Katika familia ya huyo mke mtu, kuna wanawake sita na wanne kati Yao walishafiwa na waume zao kasoro huyo mke mtu ninayemzungumzia na mdogo wake WA mwisho tu, ila dada zao wote waume zao walishafariki Kwa sababu mbalimbali wengine Ajali, magonjwa nk.

Sasa mume mtu alipoona Hilo swala akaingia na wasiwasi akamuuliza mkewe mbona kwenu kuna kasumba ya wanawake kufiwa na waume zao isije ikawa Mimi ndo nafwata coz ikumbukwe katika familia ya mke mtu walikuwa wamebaki wawili tu ambao sio wajane.

Mume mtu akamuomba mkewe waende Kwa mganga au wakafanye Mila kijijini Ili kama kuna mkosi kwenye familia Yao wamtafute suluhisho.

Lakini mke mtu sababu ni mlokole na amshika dini kupita maelezo, akakataa katakata kutafuta suluhisho la tatizo Hilo Kwa waganga au kufanya Mila. Kwanza akamwambia mumewe kuwa yeye anaamini kwao hakuna mikosi yoyoye na hata hao dada zake wajane , waume zao walikufa vifo vya kawaida kama wanadamu wengine tu.

Jambo hili lilimkasirisha sana mume mtu, na akaona mkewe kama anachukulia poa suala la kifo sabubu tu kashika dini kupita kiasi.

Isitoshe mke alishahama kanisa katoliki walilokuwa wanasali, na kahamisha watoto wote kwenda hilo kanisa la KILOKOLE japo watoto ni wakatoliki pia, walibatizwa, walipata komunio na kipaimara. Jambo hili lilimkasirisha sana mume mtu baye ni mkatoliki mzuri na kiongozi kwenye jumuiya.

Hivi sasa ninavyozungumza ndoa hiyo imekufa.

MAKANISA ya KILOKOLE ni HATARI sana hasa Kwa akina mama na watu ambao hawana elimu ya kutosha kuchanganua mambo Kwa jicho la tatu.
Ukitaka mke bora oa beki 3, utainjoi ndoa hadi uwashangae wanaolalama kwenye ndoano zao.
 
Kwa andiko lako hapo,inaonesha ndoa imevunjika baada ya mke kugomq kwenda kwa sangoma tu

Ova
 
Habari Wana JF?. Hii ni true story kabisa. Kuna familia ya jirani yangu imesambaratika sababu ya MAKANISA ya KILOKOLE japo kisa kilianzia mbali sana. Mume mtu alikuwa anamtuhumu mkewe kuwa kwenye ukoo wao kuna mkosi WA wanawake kufiwa na waume zao.

Katika familia ya huyo mke mtu, kuna wanawake sita na wanne kati Yao walishafiwa na waume zao kasoro huyo mke mtu ninayemzungumzia na mdogo wake WA mwisho tu, ila dada zao wote waume zao walishafariki Kwa sababu mbalimbali wengine Ajali, magonjwa nk.

Sasa mume mtu alipoona Hilo swala akaingia na wasiwasi akamuuliza mkewe mbona kwenu kuna kasumba ya wanawake kufiwa na waume zao isije ikawa Mimi ndo nafwata coz ikumbukwe katika familia ya mke mtu walikuwa wamebaki wawili tu ambao sio wajane.

Mume mtu akamuomba mkewe waende Kwa mganga au wakafanye Mila kijijini Ili kama kuna mkosi kwenye familia Yao wamtafute suluhisho.

Lakini mke mtu sababu ni mlokole na amshika dini kupita maelezo, akakataa katakata kutafuta suluhisho la tatizo Hilo Kwa waganga au kufanya Mila. Kwanza akamwambia mumewe kuwa yeye anaamini kwao hakuna mikosi yoyoye na hata hao dada zake wajane , waume zao walikufa vifo vya kawaida kama wanadamu wengine tu.

Jambo hili lilimkasirisha sana mume mtu, na akaona mkewe kama anachukulia poa suala la kifo sabubu tu kashika dini kupita kiasi.

Isitoshe mke alishahama kanisa katoliki walilokuwa wanasali, na kahamisha watoto wote kwenda hilo kanisa la KILOKOLE japo watoto ni wakatoliki pia, walibatizwa, walipata komunio na kipaimara. Jambo hili lilimkasirisha sana mume mtu baye ni mkatoliki mzuri na kiongozi kwenye jumuiya.

Hivi sasa ninavyozungumza ndoa hiyo imekufa.

MAKANISA ya KILOKOLE ni HATARI sana hasa Kwa akina mama na watu ambao hawana elimu ya kutosha kuchanganua mambo Kwa jicho la tatu.
Mimi nimeokaka na nampenda Yesu kwa maana ni mkombozi wa maisha yangu . Kuhusu hii ndoa mwanamke yupo sahihi kwa nini huyu mwanaume anamshauri kwenda kwa waganga wa kienyeji hata angelikuwa mimi ndoa ingelivunjija bora nibaki na Yesu wangu kuliko kwenda kwa mganga wa kienyeji
 
Back
Top Bottom