Makao Makuu ya CHADEMA yafurika, umati wafunga mtaa baada ya Mbowe kuachiwa huru

Makao Makuu ya CHADEMA yafurika, umati wafunga mtaa baada ya Mbowe kuachiwa huru

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Baada ya Freeman Mbowe kuachiwa huru inatarajiwa atatokea gerezani Ukonga na kufika kwanza Kwenye Makao Makuu ya Chama chake, Kinondoni mtaa wa Ufipa, bila shaka atatoa hotuba fupi ya kusalimia wanachama na wananchi.

Sasa baada ya kulijua hilo wananchi kwa maelfu wamevamia Makao Makuu hayo kwa lengo la kumsubiri Mwamba.

Jionee mwenyewe

Makao_Makuu_ya_Chama_muda_huu%2C_wanachama_wa_Chadema_wakiwa_nje_ya_ofisi_za_chama.%0A%0A%23Jo...jpg
 
Baada ya Freeman Mbowe kuachiwa huru inatarajiwa atatokea gerezani Ukonga na kufika kwanza Kwenye Makao Makuu ya Chama chake , Kinondoni mtaa wa ufipa , bila shaka atatoa hotuba fupi ya kusalimia wanachama na wananchi .

Sasa baada ya kulijua hilo wananchi kwa maelfu wamevamia Makao Makuu hayo kwa lengo la kumsubiri Mwamba .

Jionee mwenyewe

View attachment 2138527View attachment 2138528
Ofisi ipo kichochoron huko eti makao makuu gan yapo kama store ya mkaa?
 
Sema nini makamanda, yale makao makuu bwana ni JAU kwakwel
 
Pamoja na kufutiwa mashitaka naamini Mbowe na Genge lake la kihalifu watakuwa wameshika adbu.
na wamejifunza kuwa ukichezea Amani ya nchi utashughulikiwa kama mbwa koko.

Ushauri wa bure sasa ni bora akalee wajukuu.
aache tabia ya kuajiri wahalifu, wauza madawa, wavuta bangi, majambazi n.k

Sasa tutamfuatilia hadi chooni.
 
Back
Top Bottom