Makao Makuu ya CHADEMA yafurika, umati wafunga mtaa baada ya Mbowe kuachiwa huru

Ofisi mbona hamuonyeshi hiyo kama banda kama la kufuga kuku

Mumekula hela za wafadhili wa Ndani na nje ofisi hamjengi

BBC ,nk mkichukua picha chukueni na picha ya hiyo ofisi ulimwengu uone pesa zao zilivyoliwa
 
Wale sidhan kama watawachomoa.Wataacha tu wamalize moaka 2025.By the way hawana watalachokipata hata wakiwafukuza wakat waliwaacha miaka yote hii.
Ni mwaka tu aisee muda bado wacha waingie wengine wale japo miaka mitath ijayo hao nao wasugue bench kwanza halima na wenzie hawana shukrani Wala utu.
 
Pamoja na kufutiwa mashitaka naamini Mbowe na Genge lake la kihalifu watakuwa wameshika adbu.
na wamejifunza kuwa ukichezea Amani ya nchi utashughulikiwa kama mbwa koko.

Ushauri wa bure sasa ni bora akalee wajukuu.
aache tabia ya kuajiri wahalifu, wauza madawa, wavuta bangi, majambazi n.k

Sasa tutamfuatilia hadi chooni.

Huu utoto umecopy na kupost kwenye kila uzi unaishia kuonyesha utoto wako.
 
Ofisi mbona hamuonyeshi hiyo kama banda kama la kufuga kuku

Mumekula hela za wafadhili wa Ndani na nje ofisi hamjengi

BBC ,nk mkichukua picha chukueni na picha ya hiyo ofisi ulimwengu uone pesa zao zilivyoliwa
Vijana mliotanuliwa midhuti huwa hamkosi la kusema mmekaa wambea wambea sababu ya kuzoea shahawa kumwagiwa huko nyuma Sasa zinakutekenya usuguliwe.

Kwani ukikaa kimya so itakusaidia kuficha upumbavu wako bwana Shaka Shaka tunayekutilia mashaka?
 
Pamoja na kufutiwa mashitaka naamini Mbowe na Genge lake la kihalifu watakuwa wameshika adbu.
na wamejifunza kuwa ukichezea Amani ya nchi utashughulikiwa kama mbwa koko.

Ushauri wa bure sasa ni bora akalee wajukuu.
aache tabia ya kuajiri wahalifu, wauza madawa, wavuta bangi, majambazi n.k

Sasa tutamfuatilia hadi chooni.
ugaidi wa laki 6🥴
 
Nimekutukana tusi jipya.
 
Baada ya Freeman Mbowe kuachiwa huru inatarajiwa atatokea gerezani Ukonga na kufika kwanza Kwenye Makao Makuu ya Chama chake , Kinondoni mtaa wa ufipa , bila shaka atatoa hotuba fupi ya kusalimia wanachama na wananchi .

Sasa baada ya kulijua hilo wananchi kwa maelfu wamevamia Makao Makuu hayo kwa lengo la kumsubiri Mwamba .

Jionee mwenyewe

View attachment 2138527View attachment 2138528
Chakula cha mchana na maji ndiyo mwisho wake. Mwamba amerudi
 
Pamoja na kufutiwa mashitaka naamini Mbowe na Genge lake la kihalifu watakuwa wameshika adbu.
na wamejifunza kuwa ukichezea Amani ya nchi utashughulikiwa kama mbwa koko.

Ushauri wa bure sasa ni bora akalee wajukuu.
aache tabia ya kuajiri wahalifu, wauza madawa, wavuta bangi, majambazi n.k

Sasa tutamfuatilia hadi chooni.
Mwenda wa wazimu wewe!kafie mbali
 
Back
Top Bottom