Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LEO KONYAGII ITANYWEKA SANA!NA MKEWE ANA KAZI LEO!
Pamoja na kufutiwa mashitaka naamini Mbowe na Genge lake la kihalifu watakuwa wameshika adbu.
na wamejifunza kuwa ukichezea Amani ya nchi utashughulikiwa kama mbwa koko.
Ushauri wa bure sasa ni bora akalee wajukuu.
aache tabia ya kuajiri wahalifu, wauza madawa, wavuta bangi, majambazi n.k
Sasa tutamfuatilia hadi chooni.
kwani nani anaogopa mahakama na magereza. Toa ujinga wewe MBOWE ni mzalendo namba 1 Tanzania na msimamo wake ni uleuleNdio maana niliwaanbia wafuasi wa Mbowe huu ni mtego hatari saana kwai Mbowe na hilo genge lake.
kesi imeondolewa haijahitimishwa na mahakama maana yake inaweza kurudishwa muda na wakati wowote.
Hivyo Mbowe na wenzake ni vyema wakabadilika na kuachana kabisa na mipango ya kihalifu, Endapo Mahakama ingemkuta hana hatia na kumuachia huru angekuwa amesafishika lkn sio kwenye hatua hii.
Jambo la msingi abadilike.....na awe mzalendo kwa Taifa lake.
MJOMBA chizi kakuibia suruali bafuni unamfukuza.mzee msingi wa kufuta kesi ni nini? twende kisheria mzee, kukosekana kwa ushahidi ama? kasome CPA S.91 NA S.98 bwege wewe
Halima huwa ananiuma kwenye roho yangu kama kidonda.. sikutegemea. Na mpaka leo moyo wangu unakataa kuaminiBaada ya mateso yote na safari ngumu alopitia katika kukuza jina na career yake mwishowe akakubali kuishia vile?
Nimemsikitikia sana Halima.
Samahani mkuu 'Lusungo', baadhi yetu hatusomi vitu juu juu na kwenda zetu.Nimejiuliza tu, baada ya haya Halima Mdee anajionaje?
Anajisikiaje?
Sio peke yako, binafsi Halima, Zitto na Dr Slaa nilijitoleaga sana katika kuwapa taarifa nyeti zilizokuza umaarufu na career zao leo wakawa na price tag!! Hawa watu wananiuma sana ila ndo basi tena.Halima huwa ananiuma kwenye roho yangu kama kidonda.. sikutegemea. Na mpaka leo moyo wangu unakataa kuamini
Halima aliahidiwa Mbowe angefungwa na vikao vya baraza kuu visingefanyika.Samahani mkuu 'Lusungo', baadhi yetu hatusomi vitu juu juu na kwenda zetu.
Huu mstari wako ulioweka hapa una maana gani? Fafanua kidogo tafadhari.
Inaelekea kuna habari za chini chini ambazo hazijawekwa bayana.Nmepitwa! HALIMA MDEE na genge lake la Covid-19 wamefanyaje huko??
Mungu,Mbariki Mama Samia,Rais msikivu,Rais mwenye upendo,Rais anayependa raia wake.Mungu mpe uzima,afya,umri mrefu,Rais wetu,kipenzi cha wengi.Ni msikivu kama jina Lake,Samia(kwa kwa lugha za mashariki ya kati,msikivu)Baada ya Freeman Mbowe kuachiwa huru inatarajiwa atatokea gerezani Ukonga na kufika kwanza Kwenye Makao Makuu ya Chama chake, Kinondoni mtaa wa Ufipa, bila shaka atatoa hotuba fupi ya kusalimia wanachama na wananchi.
Sasa baada ya kulijua hilo wananchi kwa maelfu wamevamia Makao Makuu hayo kwa lengo la kumsubiri Mwamba.
Jionee mwenyewe
View attachment 2138527
Wakati kiongozi wa nchi akiona dhuluma juu ya Haki ni haramu, watu wajinga huona ni halali. Idiot!!Pamoja na kufutiwa mashitaka naamini Mbowe na Genge lake la kihalifu watakuwa wameshika adbu.
na wamejifunza kuwa ukichezea Amani ya nchi utashughulikiwa kama mbwa koko.
Ushauri wa bure sasa ni bora akalee wajukuu.
aache tabia ya kuajiri wahalifu, wauza madawa, wavuta bangi, majambazi n.k
Sasa tutamfuatilia hadi chooni.
Acha upumbavu, kama unafikiri kuwa kwa Mbowe kuwekwa mahabusu Ndiyo njia ya kumnyamazisha, utakuwa na uharo kichwani.Pamoja na kufutiwa mashitaka naamini Mbowe na Genge lake la kihalifu watakuwa wameshika adbu.
na wamejifunza kuwa ukichezea Amani ya nchi utashughulikiwa kama mbwa koko.
Ushauri wa bure sasa ni bora akalee wajukuu.
aache tabia ya kuajiri wahalifu, wauza madawa, wavuta bangi, majambazi n.k
Sasa tutamfuatilia hadi chooni.
Ahsante mkuu, kwa taarifa.Halima aliahidiwa Mbowe angefungwa na vikao vya baraza kuu visingefanyika.
Kilichopo ni kuwa Covid19 wanaliwa kichwa na chadema inapeleka wabunge wapya. Haya ni maagizo toka juu.
Hawajakubali uchafuzi, maza ametaka reconciliation. Hakuna namna zaidi ya chama kujipanga kwaajili ya 2025.Ahsante mkuu, kwa taarifa.
Aaah, lakini tafadhali punguza spidi, unakwenda haraka mno kiasi kwamba akili inashindwa ku-process majibu yako haya.
"Maagizo toka juu. Chadema inapeleka wabunge wapya"?
Inamaana CHADEMA sasa wameukubali "UCHAFUZI" uliofanywa na Magufuli 2020? Mbona hii itakuwa kama movie ya kihindi?
CHADEMA ni lazima wawe waangalifu sana toka hapa kwenda mbele wasije wakaashia kuwa kama NCCR, CUF na kile cha Mrema.Hawajakubali uchafuzi, maza ametaka reconciliation. Hakuna namna zaidi ya chama kujipanga kwaajili ya 2025.
Kwa bunge la sasa ni muhimu CHADEMA ikawa na sauti kwa niaba ya wananchi kuliko kususa tukawaacha wananchi wasiwe na sauti za kuwasemea.CHADEMA ni lazima wawe waangalifu sana toka hapa kwenda mbele wasije wakaashia kuwa kama NCCR, CUF na kile cha Mrema.
Sisemi wakatae 'reconciliation', lakini ni lazima wawe waangalifu sana wakati huu. Kupeleka wabunge kwenye bunge batili si busara hata mara moja. Na kukataa hilo sio kukataa 'reconciliation', tafadhari nielewe hivyo.