KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Hili linajadilika. Nadhani mada mpya juu yake ni stahili.Kwa bunge la sasa ni muhimu CHADEMA ikawa na sauti kwa niaba ya wananchi kuliko kususa tukawaacha wananchi wasiwe na sauti za kuwasemea.
Mpaka sasa utakua umepata picha ni madudu mangapi yamepita kwakua tu kuna sauti moja ya CCM bungeni.
To me naona tsa good move.