Makao Makuu ya CHADEMA yafurika, umati wafunga mtaa baada ya Mbowe kuachiwa huru

Makao Makuu ya CHADEMA yafurika, umati wafunga mtaa baada ya Mbowe kuachiwa huru

Kwa taarifa nilizonazo za ndani ya Chadema Lisu na Lema hawajafurahia walikuwa wakipiga pesa sana kwa Mbowe kuwa ndani wakichangisha michango na kuila wakijua hatoki

Sasa katoka Lema na Lisu mkabidhini Mbowe pesa zote mlizochangisha ndani na nje kabla hamjaumbuliwa

Kuna taarifa Lisu kusikia Mbowe katoka kaahirisha kurudi Tanzania kuogopa kubanwa
Je utoaji mimba uhalalishwe ili wazazi wasipate watoto vimeo kama huyu ?
 
Back
Top Bottom