Makao Makuu ya CHADEMA yafurika, umati wafunga mtaa baada ya Mbowe kuachiwa huru

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Baada ya Freeman Mbowe kuachiwa huru inatarajiwa atatokea gerezani Ukonga na kufika kwanza Kwenye Makao Makuu ya Chama chake, Kinondoni mtaa wa Ufipa, bila shaka atatoa hotuba fupi ya kusalimia wanachama na wananchi.

Sasa baada ya kulijua hilo wananchi kwa maelfu wamevamia Makao Makuu hayo kwa lengo la kumsubiri Mwamba.

Jionee mwenyewe

 
Ofisi ipo kichochoron huko eti makao makuu gan yapo kama store ya mkaa?
 
Sema nini makamanda, yale makao makuu bwana ni JAU kwakwel
 
Pamoja na kufutiwa mashitaka naamini Mbowe na Genge lake la kihalifu watakuwa wameshika adbu.
na wamejifunza kuwa ukichezea Amani ya nchi utashughulikiwa kama mbwa koko.

Ushauri wa bure sasa ni bora akalee wajukuu.
aache tabia ya kuajiri wahalifu, wauza madawa, wavuta bangi, majambazi n.k

Sasa tutamfuatilia hadi chooni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…