johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kuna uhusiano mkubwa kati ya CCM na BUTIAMA.Naona matangazo kila Mahali kwamba tarehe 15 February Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu atapokelewa kijijini kwao Ikungi na maelfu ya Watanzania
Hii imenishangaza maana Hata Chato enzi za Shujaa Mpenda Kwao hajawahi kupokelewa kihivyo Hata aliposhinda uRais
Hapa hakunaga ukabila KWELI?
Navalonge swela 😂
Kwani hapo MAKAO makuu si alishapokelewa na kukabidhiwa ofisi?Naona matangazo kila Mahali kwamba tarehe 15 February Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu atapokelewa kijijini kwao Ikungi na maelfu ya Watanzania
Hii imenishangaza maana Hata Chato enzi za Shujaa Mpenda Kwao hajawahi kupokelewa kihivyo Hata aliposhinda uRais
Hapa hakunaga ukabila KWELI?
Navalonge swela 😂
Naona matangazo kila Mahali kwamba tarehe 15 February Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu atapokelewa kijijini kwao Ikungi na maelfu ya Watanzania
Hii imenishangaza maana Hata Chato enzi za Shujaa Mpenda Kwao hajawahi kupokelewa kihivyo Hata aliposhinda uRais
Hapa hakunaga ukabila KWELI?
Navalonge swela
Nimefurahi sana ulivyomuita dogo,maana inaonekana ana akili za kidogodogo.Tulisha mpokea makao makuuu wewe tu ndio uko nyuma ya wakati dogo.
Ni pimbi moja hiyo mzeeeNimefurahi sana ulivyomuita dogo,maana inaonekana ana akili za kidogodogo.
Umeona la Lissu tu?Naona matangazo kila Mahali kwamba tarehe 15 February Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu atapokelewa kijijini kwao Ikungi na maelfu ya Watanzania
Hii imenishangaza maana Hata Chato enzi za Shujaa Mpenda Kwao hajawahi kupokelewa kihivyo Hata aliposhinda uRais
Hapa hakunaga ukabila KWELI?
Navalonge swela 😂
Hayo aambiwe Samia mshika pesa zote za TanzaniaMuambieni Barabara ni mbovu sana. Ukianzia hapa kwa mkuu wa Wilaya, Mahambe, matare, mkhuu, Mwau, Mang’onyi, Mighunga, Banda Saba, Taru , Mlimani, Sambaru, Londoni, Msemembo, Dung’unyi, Siuyu, Mbogho, Msemembo , Ntuntu, Ntewa.
TAL ni shujaa kutoka Ikungi, hapo ni home base yake!,hivyo ni haki yake kupokelewa kishujaa。Naona matangazo kila Mahali kwamba tarehe 15 February Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu atapokelewa kijijini kwao Ikungi na maelfu ya Watanzania
Hii imenishangaza maana Hata Chato enzi za Shujaa Mpenda Kwao hajawahi kupokelewa kihivyo Hata aliposhinda uRais
Hapa hakunaga ukabila KWELI?
Navalonge swela 😂
Kwani singida sio Tanzania? Au wewe ndo unataka kuleta ukabila.?Naona matangazo kila Mahali kwamba tarehe 15 February Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu atapokelewa kijijini kwao Ikungi na maelfu ya Watanzania
Hii imenishangaza maana Hata Chato enzi za Shujaa Mpenda Kwao hajawahi kupokelewa kihivyo Hata aliposhinda uRais
Hapa hakunaga ukabila KWELI?
Navalonge swela 😂
Sisi tuanze , kisha serikali itamalizia.Hayo aambiwe Samia mshika pesa zote za Tanzania
Nani anakusanya Kodi yakoMuambieni Barabara ni mbovu sana. Ukianzia hapa kwa mkuu wa Wilaya, Mahambe, matare, mkhuu, Mwau, Mang’onyi, Mighunga, Banda Saba, Taru , Mlimani, Sambaru, Londoni, Msemembo, Dung’unyi, Siuyu, Mbogho, Msemembo , Ntuntu, Ntewa.
ni kijiji kilichochangamka na kupewa hadhi ya makao makuu ya wilaya. Kijijini kwao hasa ni Mahambe, nje ya IkungiTAL ni shujaa kutoka Ikungi, hapo ni home base yake!。
P
Kumbe kanalewaga?angalia kasije binua mchangaUshalewa chang'aa mapema hivi bwashee?