johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Naona matangazo kila Mahali kwamba tarehe 15 February Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu atapokelewa kijijini kwao Ikungi na maelfu ya Watanzania
Hii imenishangaza maana Hata Chato enzi za Shujaa Mpenda Kwao hajawahi kupokelewa kihivyo Hata aliposhinda uRais
Hapa hakunaga ukabila KWELI?
Navalonge swela 😂
Hii imenishangaza maana Hata Chato enzi za Shujaa Mpenda Kwao hajawahi kupokelewa kihivyo Hata aliposhinda uRais
Hapa hakunaga ukabila KWELI?
Navalonge swela 😂