Makao makuu ya Chadema Yako Mikocheni DSM lakini Mwenyekiti Mpya Mh Tundu Lisu anaenda kupokelewa Ikungi Singida, huu siyo Ukabila kweli?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Naona matangazo kila Mahali kwamba tarehe 15 February Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu atapokelewa kijijini kwao Ikungi na maelfu ya Watanzania

Hii imenishangaza maana Hata Chato enzi za Shujaa Mpenda Kwao hajawahi kupokelewa kihivyo Hata aliposhinda uRais

Hapa hakunaga ukabila KWELI?

Navalonge swela 😂
 
Kuna uhusiano mkubwa kati ya CCM na BUTIAMA.
 
Naona matangazo kila Mahali kwamba tarehe 15 February Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu atapokelewa kijijini kwao Ikungi na maelfu ya Watanzania

Hii imenishangaza maana Hata Chato enzi za Shujaa Mpenda Kwao hajawahi kupokelewa kihivyo Hata aliposhinda uRais

Hapa hakunaga ukabila KWELI?

Navalonge swela 😂
Kwani hapo MAKAO makuu si alishapokelewa na kukabidhiwa ofisi?
 
Makao makuu si alishapokelewa, anaenda jimboni kwake sasa, kuna shida gani hapo
 
Naona matangazo kila Mahali kwamba tarehe 15 February Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu atapokelewa kijijini kwao Ikungi na maelfu ya Watanzania

Hii imenishangaza maana Hata Chato enzi za Shujaa Mpenda Kwao hajawahi kupokelewa kihivyo Hata aliposhinda uRais

Hapa hakunaga ukabila KWELI?

Navalonge swela
 
Muambieni Barabara ni mbovu sana. Ukianzia hapa kwa mkuu wa Wilaya, Mahambe, matare, mkhuu, Mwau, Mang’onyi, Mighunga, Banda Saba, Taru , Mlimani, Sambaru, Londoni, Msemembo, Dung’unyi, Siuyu, Mbogho, Msemembo , Ntuntu, Ntewa.
 
Umeona la Lissu tu?
Huoni la Heche?kaskazini tulimpokea Mbowe airport Mbona hukuongea?

Wewe baki na Wassira haya hayakuhusu
 
Muambieni Barabara ni mbovu sana. Ukianzia hapa kwa mkuu wa Wilaya, Mahambe, matare, mkhuu, Mwau, Mang’onyi, Mighunga, Banda Saba, Taru , Mlimani, Sambaru, Londoni, Msemembo, Dung’unyi, Siuyu, Mbogho, Msemembo , Ntuntu, Ntewa.
Hayo aambiwe Samia mshika pesa zote za Tanzania
 
Naona matangazo kila Mahali kwamba tarehe 15 February Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu atapokelewa kijijini kwao Ikungi na maelfu ya Watanzania

Hii imenishangaza maana Hata Chato enzi za Shujaa Mpenda Kwao hajawahi kupokelewa kihivyo Hata aliposhinda uRais

Hapa hakunaga ukabila KWELI?

Navalonge swela 😂
TAL ni shujaa kutoka Ikungi, hapo ni home base yake!,hivyo ni haki yake kupokelewa kishujaa。
P
 
Naona matangazo kila Mahali kwamba tarehe 15 February Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu atapokelewa kijijini kwao Ikungi na maelfu ya Watanzania

Hii imenishangaza maana Hata Chato enzi za Shujaa Mpenda Kwao hajawahi kupokelewa kihivyo Hata aliposhinda uRais

Hapa hakunaga ukabila KWELI?

Navalonge swela 😂
Kwani singida sio Tanzania? Au wewe ndo unataka kuleta ukabila.?
 
Muambieni Barabara ni mbovu sana. Ukianzia hapa kwa mkuu wa Wilaya, Mahambe, matare, mkhuu, Mwau, Mang’onyi, Mighunga, Banda Saba, Taru , Mlimani, Sambaru, Londoni, Msemembo, Dung’unyi, Siuyu, Mbogho, Msemembo , Ntuntu, Ntewa.
Nani anakusanya Kodi yako
 
Back
Top Bottom