Makao makuu ya chedema taifa kuhamishiwa Arusha

Sikujua kuwa hata siasa inaweza kumpa mtu raha za bliss kiasi hiki. Mkuu naona comment zote za wadau, njema na mbovu, zote heri. Zinakupa raha tu. Kazi ya “kuicheka” CHADEMA ni burdani tupu! Ni uzi baada ya uzi wa kejeli kwa raha żako.😎

Well, keep enjoying the ride while the going is still euphoric, ni wakati wako huu.
sina ubaya na mtu, kiroho safi tyu tunafurahi....
nimeridhika na Neema na baraka za Mungu alizonijaaliya..

furaha, karaha ndio mtindo wa maisha yangu, nakwepaje sasa kwa mfano,

wananchi wenyewe kila mtu ana changamoto yake, uipe kipaumbele ipi kuitatua, uiache ipi au ipi isubiri kidogo.

utafanyaje sasa, uchukie, unune, uzire, ususe au ukomae nazo ziishe uwe free....

chadema, CHAUMA, ACT, UDP, TADEA CUF na vyama vingine vya kisiasa zaidi ya 20, ni ndugu zangu, jirani zangu, marafiki zangu kwanini tusifurahike na kucheka pamoja maisha na siku zikasonga vizuri?

eti gentleman,
hiyo si ni muzuri 🐒
 
lengo ni kua na walau ngome maalumu ambayo itakua inatuhakikishia viti viwili au vitatu vya ubunge katika kila uchaguzi uwe wa aina yoyote ile.

hivi sasa unaweza kusema ngome ya Chadema kisiasa ni wapi, yakutuhakikishia hata jimbo moja tu kwamba tutashinda? wapi nitajie..
alidokeza mnyetisha wa tetesi hii kwa kujiamini sana..

mwenyekiti Taifa,
anawafuasi wengi wa uhakika na wakuaminika kaskazini, hasa katika mkoa wa Arusha, lakini pia Kilimanjaro na Manyara anakubalika sana na chama kinaweza kujihakikishia kitu kule..
na huko ndiko chadema inawafuasi wengi, wanachama wengi, mashabiki wengi na wapiga kura wengi zaidi ya mahali pengine popote nchini...

tayari pendekezo hili limeshawasiishwa na mjumbe moja mwandamizi wa chama, kanda, tunasubiri vikao vya kamati kuu vikae, pendekezo lipokelewe, lijadiliwe na baadae mkutano mkuu kutoa kauli ya mwisho na kuamua itakavyokua..

ofisi za kanda,
ndiyo zipo, lakini kwakweli hazijakisaidia sana chama vya kutosha.

Dar es salaam, Zanzibar na Dodoma zitabaki kua ofisi ndogo ndogo za makao makuu, lakini pia ndizo zitakazokua ofisini kuu za kanda husika..
alihitimisha mnyetisha wa tetesi hii...

kisiasa,
Je, pendekezo hili likiafikiwa na mkutano mkuu, linaweza kuwasaidia chadema katika kujijengea ngome imara na ya uhakika sehemu fulani nchini, huko tunapoelekea na ikawa na sura kama ilivyo ACT Pemba?

au halina tija, ni kupoteza wakati na pesa tu,
bora waconcentrate na issue nyingine za kukijenga chama chao?[emoji205]
Kichaa
 
Acha kupoteza mda na Chadema wenzako wengi tu walijiapiza wstaua Chadema wakafa wao yuko wapi jiwe to uko wapi Mzee wa gombe?
Imeandikwa,
'Kuishi ni Kristo kufa ni Faida'

usiogope, usitishike kizembe zembe gentleman 🐒
 
lengo ni kua na walau ngome maalumu ambayo itakua inatuhakikishia viti viwili au vitatu vya ubunge katika kila uchaguzi uwe wa aina yoyote ile.

hivi sasa unaweza kusema ngome ya Chadema kisiasa ni wapi, yakutuhakikishia hata jimbo moja tu kwamba tutashinda? wapi nitajie..
alidokeza mnyetisha wa tetesi hii kwa kujiamini sana..

mwenyekiti Taifa,
anawafuasi wengi wa uhakika na wakuaminika kaskazini, hasa katika mkoa wa Arusha, lakini pia Kilimanjaro na Manyara anakubalika sana na chama kinaweza kujihakikishia kitu kule..
na huko ndiko chadema inawafuasi wengi, wanachama wengi, mashabiki wengi na wapiga kura wengi zaidi ya mahali pengine popote nchini...

tayari pendekezo hili limeshawasiishwa na mjumbe moja mwandamizi wa chama, kanda, tunasubiri vikao vya kamati kuu vikae, pendekezo lipokelewe, lijadiliwe na baadae mkutano mkuu kutoa kauli ya mwisho na kuamua itakavyokua..

ofisi za kanda,
ndiyo zipo, lakini kwakweli hazijakisaidia sana chama vya kutosha.

Dar es salaam, Zanzibar na Dodoma zitabaki kua ofisi ndogo ndogo za makao makuu, lakini pia ndizo zitakazokua ofisini kuu za kanda husika..
alihitimisha mnyetisha wa tetesi hii...

kisiasa,
Je, pendekezo hili likiafikiwa na mkutano mkuu, linaweza kuwasaidia chadema katika kujijengea ngome imara na ya uhakika sehemu fulani nchini, huko tunapoelekea na ikawa na sura kama ilivyo ACT Pemba?

au halina tija, ni kupoteza wakati na pesa tu,
bora waconcentrate na issue nyingine za kukijenga chama chao?🐒

Sasa haya ni mawazo yako au vipi kama ni mawazo yako sema haya ni mawazo yangu na sio kuandika uvumi kama vile ni kweli
 
Mnataka kuharibu Chama. Acheni hizi mambo.
ni mjumbe ametoa tu pendekezo sio kwamba eti ndio imepita hiyo no, bado mchakato ndani ya Chadema haujaanza 🐒

wewe unaonaje?

au wewe umeona hatari hiyo tu uliyobainisha 🐒
 
Sasa haya ni mawazo yako au vipi kama ni mawazo yako sema haya ni mawazo yangu na sio kuandika uvumi kama vile ni kweli
gentleman relax, don't panic,

nisome vizuri tena, ikiwezekana rudia hata mara tatu, itakusaidia na itapunguza taharuki kwa kiasi kikubwa sana 🐒
 
lengo ni kua na walau ngome maalumu ambayo itakua inatuhakikishia viti viwili au vitatu vya ubunge katika kila uchaguzi uwe wa aina yoyote ile.

hivi sasa unaweza kusema ngome ya Chadema kisiasa ni wapi, yakutuhakikishia hata jimbo moja tu kwamba tutashinda? wapi nitajie..
alidokeza mnyetisha wa tetesi hii kwa kujiamini sana..

mwenyekiti Taifa,
anawafuasi wengi wa uhakika na wakuaminika kaskazini, hasa katika mkoa wa Arusha, lakini pia Kilimanjaro na Manyara anakubalika sana na chama kinaweza kujihakikishia kitu kule..
na huko ndiko chadema inawafuasi wengi, wanachama wengi, mashabiki wengi na wapiga kura wengi zaidi ya mahali pengine popote nchini...

tayari pendekezo hili limeshawasiishwa na mjumbe moja mwandamizi wa chama, kanda, tunasubiri vikao vya kamati kuu vikae, pendekezo lipokelewe, lijadiliwe na baadae mkutano mkuu kutoa kauli ya mwisho na kuamua itakavyokua..

ofisi za kanda,
ndiyo zipo, lakini kwakweli hazijakisaidia sana chama vya kutosha.

Dar es salaam, Zanzibar na Dodoma zitabaki kua ofisi ndogo ndogo za makao makuu, lakini pia ndizo zitakazokua ofisini kuu za kanda husika..
alihitimisha mnyetisha wa tetesi hii...

kisiasa,
Je, pendekezo hili likiafikiwa na mkutano mkuu, linaweza kuwasaidia chadema katika kujijengea ngome imara na ya uhakika sehemu fulani nchini, huko tunapoelekea na ikawa na sura kama ilivyo ACT Pemba?

au halina tija, ni kupoteza wakati na pesa tu,
bora waconcentrate na issue nyingine za kukijenga chama chao?🐒
Naunga mkono hoja ya Makao Makuu ya Chadema kuhamishiwa Arusha. Pia ni jirani na Singida kwa Tundu Lissu! Ahahahahaha!!!!
 
CHEDEMA ndio kitu gani?
ni miongoni mwa vyama vya upinzani dhaifu sana nchini, chenye mbunge moja tu wa Jimbo wa kuchaguliwa na lakini kina usajili wa kudumu nchini, kwa jina kamili la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, kiufupi (CHADEMA)🐒
 
sina ubaya na mtu, kiroho safi tyu tunafurahi....
nimeridhika na Neema na baraka za Mungu alizonijaaliya..

furaha, karaha ndio mtindo wa maisha yangu, nakwepaje sasa kwa mfano,

wananchi wenyewe kila mtu ana changamoto yake, uipe kipaumbele ipi kuitatua, uiache ipi au ipi isubiri kidogo.

utafanyaje sasa, uchukie, unune, uzire, ususe au ukomae nazo ziishe uwe free....

chadema, CHAUMA, ACT, UDP, TADEA CUF na vyama vingine vya kisiasa zaidi ya 20, ni ndugu zangu, jirani zangu, marafiki zangu kwanini tusifurahike na kucheka pamoja maisha na siku zikasonga vizuri?

eti gentleman,
hiyo si ni muzuri 🐒
Au sio? Endelea kula raha, unaeleweka kiasi chake.
 
Cookie huyu member mara nyingi anatoa taarifa za Uongo hapa jukwaani zinazo husu CHADEMA. Huu utaratibu unaruhusiwa??
 
kwahiyo huelewi kama hili jambo ni jema au ni changamoto kwa mustakabali wa Chadema,

ispokua wewe imeishia kuhemka tu, sasa itakusaidia nini 🤣
Ujinga ni kuutetea ujinga ujinga zaidi ni kuuishi ujinga wewe ni zaidi ya mjinga
 
Back
Top Bottom