Zegreaty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,253
- 1,056
Tangia wapite wateule wa chama wameondoka na nyota yake yapilau kavuYule Mkuu wa mkoa mwenye makeke mengi katulizwa tulii baada ya kuwasumbua wala nchi.
Makosa yake ya nyuma na lile tambiko la Lissu limemkamata kweli kweli.
Ni suala la muda tu ukweli na uwazi utawekwa hadharani.
Ngongo kwasasa Makuyuni.