Makao makuu ya wilaya ya Iramba, Mwigulu anahusika

kijiografia kijiji cha misigiri kinafaa kuwa makao makuu ya wilaya ya iramba kwa kuwa kinapitiwa na barabara kuu kutoka dar na arusha kwenda mwanza na kahama.
 
Kiomboi iko pembeni sana kutoka barabara kuu, ni mwendo wa kilometa kadhaa ukichepuka kuacha barabara kuu. Cha kufanya ni kukipanga vizuri kijiji cha misigiri kiwe mji wa makao makuu ya wilaya ya iramba. Mji wa kiomboi ubaki kuwa mji wa kihistoria
 
Hebu niulize swali dogo . Hicho ndicho kipaumbele cha wilaya hiyo.
 
kijiografia kijiji cha misigiri kinafaa kuwa makao makuu ya wilaya ya iramba kwa kuwa kinapitiwa na barabara kuu kutoka dar na arusha kwenda mwanza na kahama.
Hoja sio kufaa au kutokufaa kuhamisha halmashauri na hospitali ya wilaya ni matumizi mabaya ya fedha za umma.pili wananchi wa iramba hawajashirikishwa.
 
Kiomboi iko pembeni sana kutoka barabara kuu, ni mwendo wa kilometa kadhaa ukichepuka kuacha barabara kuu. Cha kufanya ni kukipanga vizuri kijiji cha misigiri kiwe mji wa makao makuu ya wilaya ya iramba. Mji wa kiomboi ubaki kuwa mji wa kihistoria
Mawazo yako ni ya hovyo
 
Vita nyingine isiyo na akili hii.
Kuna viongozi wanaamini wana akili kuliko wananchi
 
Maandalizi ya kugombea 2030 kama sio 2025 kulingana na upepo utakavyovuma
 
Hoja sio kufaa au kutokufaa kuhamisha halmashauri na hospitali ya wilaya ni matumizi mabaya ya fedha za umma.pili wananchi wa iramba hawajashirikishwa.
kwani we humjui mwigulu? Yule ni mfalme wa iramba, atakachoamua hakuna wa kumpinga, ni utekelezaji tu
 
Yuko sahihi kabisa. Kiomboi Iko pembeni sana. Misigiri panafaa kuwa makao makuu ya Wilaya ya Iramba. Hata Wilaya ya Kwimba wafanye haraka mchakato wa kuhamisha makao makuu ya Wilaya kutoka Ngudu ambako ni pembeni kwenda Hungumalwa kwenye barabara kuu.
 
Duu mji unatakiwa ujengwe na biashara na shughuli nyingine za uzalishaji na sio hizo na makao mkuu
 
Hapo maana yake kwenye bajeti ijayo watatengewa fedha za majengo ya Dc, Halmashauri na Taasisi nyingine za serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…