Makao makuu ya wilaya ya Iramba, Mwigulu anahusika

TAMISEMI ikatae huo ujinga! Kwani majengo yakiwa ya serikali kuu yana shida gani? Hayo watakayojenga hapo Misigiri wameshindwa nini kuyajenga huko huko Kiomboi?
Katikati mwa wilaya ni wapi na panafikika kwa urahisi na wananchi wote wa Iramba kati ya Kiomboi na Misigiri?
 
Niwapongeze madiwani na mh DC wa Iramba kwa upendo wao kwa wanyiramba na wanasingida kwa ujumla. Barabara ya misigiri, ndago, sepuka mpaka singida mjini inaenda kuwekwa lami . Misigiri itakua ni katikati ya wilaya na itakua imeunganishwa kwa barabara za lami Kila upande, zikiunganisha miji ya ndago, misigiri, kiomboi na shelui. Kiujumla hili litafanya hii h/mashauri kuwa na mapato yakutosha. Mji utakua kwa Kasi maana huduma zitaimarika. Hongera pia kwa mwigulu kuingiza kwenye bajeti barabara ya ndago na Ile ya iguguno meatu na hydom. Hawa ndio viongozi tunaowataka.
 
Juzi tarehe 5 Machi, kamati ya ushauri ya wilaya ya Iramba DCC, ilipitisha maamuzi ya kuhamisha makao makuu ya wilaya ya Iramba,yaliyopo Kiomboi kwenda Kijiji cha Misigiri.Kikao hicho cha DCC kiliongozwa na Mkuu wa wilaya Mwenda.

Katibu wa kikao hicho mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya, alitoa hoja ya kuhamisha makao makuu ya wilaya, na sababu alizozitoa mosi, halmashauri haina majengo kwa kuwa yaliyopo ni ya serikali kuu.

Pili hospitali ya wilaya ni mali ya kkkt.

Ikumbukwe kuwa hila za kuhamisha makao makuu ya wilaya ya Iramba zimeanza siku nyingi.Maamuzi haya yamekiuka sheria kwa kuwa hayajawashirikisha wananchi.

Na uamuzi huu unakwenda kuua mji wa Kiomboi kwa kuwa Kiomboi haina kivutio kingine. Mwigulu anawatumia DC Mwenda na mkurugenzi Matomola, na wanapelekwa Denmaki.
Kwa Nchi yetu ushirikishwaji wa wananchi upo wa aina nyingi. Kama swala likipita kwenye Baraza la Madiwani maana yake hapo wananchi wameshirikishwa. Kamati ya Ushauti ya Wilaya (DCC) inajumuisha wadau mbalimbali ikiwepo watu maarufu,viongozi wa dini,wawakilishi wa wafanyabiashara,vijana n.k hivyo kama DCC iliridhia kwa mtazamo wangu hapo ushirikishwaji wa wananchi upo.
Hoja ya msingi ni swala la ki-Jiografia. Je kati ya Kiomboi na Misigiri wapi ni katikati ya Wilaya ?
Je kwa kuzingatia vijiji vyote vya Wilaya hiyo wananchi ni rahisi zaidi kufika wapi kati ya Kiomboi na Misigiri ?
 
Kwa hiyo naye anataka kuendeleza Chato yake ..... sasa kama atapewa Urais si ndiyo itakuwa tabu kabisa....!!
 
Kwa mmeona bora muue mji wa Kiomboi kwa hoja za kijinga?
Niwapongeze madiwani na mh DC wa Iramba kwa upendo wao kwa wanyiramba na wanasingida kwa ujumla. Barabara ya misigiri, ndago, sepuka mpaka singida mjini inaenda kuwekwa lami . Misigiri itakua ni katikati ya wilaya na itakua imeunganishwa kwa barabara za lami Kila upande, zikiunganisha miji ya ndago, misigiri, kiomboi na shelui. Kiujumla hili litafanya hii h/mashauri kuwa na mapato yakutosha. Mji utakua kwa Kasi maana huduma zitaimarika. Hongera pia kwa mwigulu kuingiza kwenye bajeti barabara ya ndago na Ile ya iguguno meatu na hydom. Hawa ndio viongozi tunaowataka.
 
Kwa Nchi yetu ushirikishwaji wa wananchi upo wa aina nyingi. Kama swala likipita kwenye Baraza la Madiwani maana yake hapo wananchi wameshirikishwa. Kamati ya Ushauti ya Wilaya (DCC) inajumuisha wadau mbalimbali ikiwepo watu maarufu,viongozi wa dini,wawakilishi wa wafanyabiashara,vijana n.k hivyo kama DCC iliridhia kwa mtazamo wangu hapo ushirikishwaji wa wananchi upo.
Hoja ya msingi ni swala la ki-Jiografia. Je kati ya Kiomboi na Misigiri wapi ni katikati ya Wilaya ?
Je kwa kuzingatia vijiji vyote vya Wilaya hiyo wananchi ni rahisi zaidi kufika wapi kati ya Kiomboi na Misigiri ?
Unapofanya mabadiliko makubwa kama ya kuhamisha makao makuu ya halmashauri ya wilaya, lazima ushirikishe wananchi kupitia mikutano ya hadhara.Halafu elewa madiwani wote wa Iramba wamewekwa na mwigulu.Hawawezi kumpinga kwa lolote.
 
Naunga mkono hoja, sio kila uamuzi ni wakushirikisha wananchi. Misigiri inafaa kabisa kuwa makao makuu kwanza ipo karibu na barabara kuu ya Mwanza Arusha.
 
TAMISEMI ikatae huo ujinga! Kwani majengo yakiwa ya serikali kuu yana shida gani? Hayo watakayojenga hapo Misigiri wameshindwa nini kuyajenga huko huko Kiomboi?
Kwani Shida nini? Mfano Mbona Makao
Makuu ya Nchi yemehamishiwa Dodoma lakini Mji wa dar unaendelea ku shine na Vilevile Mji wa Dodoma unaendelea Kushine nakuifanya Miji yote kuwa Bambam. Kukuza Miji Midogo siyo hasara ila ni faida kwa Halmashauri na Mkoa Husika.
Hizi Hisia za Kwamba Mji unahamishwa hakuna kinachohishwa ila Majengo ya Ofisi ndo yanahamia huko.
 
Unapofanya mabadiliko makubwa kama ya kuhamisha makao makuu ya halmashauri ya wilaya, lazima ushirikishe wananchi kupitia mikutano ya hadhara.Halafu elewa madiwani wote wa Iramba wamewekwa na mwigulu.Hawawezi kumpinga kwa lolote.
Nadhani swala la kuwa Mwigulu ndiye aliyewaweka madiwani wote sio issue sana. Bali tuangalie sababu zao ni zipi.
Nimeingia website ya Wilaya ya Iramba nikatazama ramani kwa ramani jinsi ilivyo Misigiri pako katikati ya Wilaya inawarahisishia wanachi wote kuwahi kufika eneo la huduma.
Kwa ramani invyoonekana kuna vijiji kama vile Mahenge,Nsonga Madawala n.k wanasafiri umbali mrefu mpaka kufika Kiomboi.
Hivyo nadhani swala la msingi ni kuangalia hoja zao zinasemaje.
Kuhusu kuwashirikisha wanachi, mara zote wanasiasa ndio wana nguvu so hata vikifanyika vikao bado hilo pendekezo litapita tu maana wananchi watawasikiliza wenyeviti wao pamoja na madiwani wanasemaje.
 
Sawa mheshimiwa diwani.
 
Juzi tarehe 5 Machi, kamati ya ushauri ya wilaya ya Iramba DCC, ilipitisha maamuzi ya kuhamisha makao makuu ya wilaya ya Iramba,yaliyopo Kiomboi kwenda Kijiji cha Misigiri.Kikao hicho cha DCC kiliongozwa na Mkuu wa wilaya Mwenda.

Katibu wa kikao hicho mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya, alitoa hoja ya kuhamisha makao makuu ya wilaya, na sababu alizozitoa mosi, halmashauri haina majengo kwa kuwa yaliyopo ni ya serikali kuu.

Pili hospitali ya wilaya ni mali ya kkkt.

Ikumbukwe kuwa hila za kuhamisha makao makuu ya wilaya ya Iramba zimeanza siku nyingi.Maamuzi haya yamekiuka sheria kwa kuwa hayajawashirikisha wananchi.

Na uamuzi huu unakwenda kuua mji wa Kiomboi kwa kuwa Kiomboi haina kivutio kingine. Mwigulu anawatumia DC Mwenda na mkurugenzi Matomola, na wanapelekwa Denmaki.
Mshukuru Mwigulu badala ya kumlaumu, pale Kiomboi ni kushoto sana
 
Back
Top Bottom