TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Katikati mwa wilaya ni wapi na panafikika kwa urahisi na wananchi wote wa Iramba kati ya Kiomboi na Misigiri?TAMISEMI ikatae huo ujinga! Kwani majengo yakiwa ya serikali kuu yana shida gani? Hayo watakayojenga hapo Misigiri wameshindwa nini kuyajenga huko huko Kiomboi?
Kabisa.Vita nyingine isiyo na akili hii.
Kuna viongozi wanaamini wana akili kuliko wananchi
Wananchi washirikishwe, mchakato uwe wazi.Katikati mwa wilaya ni wapi na panafikika kwa urahisi na wananchi wote wa Iramba kati ya Kiomboi na Misigiri?
Badala wangeelekeza fedha kwenye changamoto za wananchi.Hapo maana yake kwenye bajeti ijayo watatengewa fedha za majengo ya Dc, Halmashauri na Taasisi nyingine za serikali
Hahahaha.Kuja kufika 2025 usije shangaa kuna majimbo mapya mpaka kariakoo pale kutakuwa na kariakoo mjini na kariakoo vijijini
Kumbe jibu la swali langu ni changamoto basi sawa wananchi washirikishweWananchi washirikishwe, mchakato uwe wazi.
Kipi ambacho hujaelewa asee.Kumbe jibu la swali langu ni changamoto basi sawa wananchi washirikishwe
Kwa Nchi yetu ushirikishwaji wa wananchi upo wa aina nyingi. Kama swala likipita kwenye Baraza la Madiwani maana yake hapo wananchi wameshirikishwa. Kamati ya Ushauti ya Wilaya (DCC) inajumuisha wadau mbalimbali ikiwepo watu maarufu,viongozi wa dini,wawakilishi wa wafanyabiashara,vijana n.k hivyo kama DCC iliridhia kwa mtazamo wangu hapo ushirikishwaji wa wananchi upo.Juzi tarehe 5 Machi, kamati ya ushauri ya wilaya ya Iramba DCC, ilipitisha maamuzi ya kuhamisha makao makuu ya wilaya ya Iramba,yaliyopo Kiomboi kwenda Kijiji cha Misigiri.Kikao hicho cha DCC kiliongozwa na Mkuu wa wilaya Mwenda.
Katibu wa kikao hicho mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya, alitoa hoja ya kuhamisha makao makuu ya wilaya, na sababu alizozitoa mosi, halmashauri haina majengo kwa kuwa yaliyopo ni ya serikali kuu.
Pili hospitali ya wilaya ni mali ya kkkt.
Ikumbukwe kuwa hila za kuhamisha makao makuu ya wilaya ya Iramba zimeanza siku nyingi.Maamuzi haya yamekiuka sheria kwa kuwa hayajawashirikisha wananchi.
Na uamuzi huu unakwenda kuua mji wa Kiomboi kwa kuwa Kiomboi haina kivutio kingine. Mwigulu anawatumia DC Mwenda na mkurugenzi Matomola, na wanapelekwa Denmaki.
Juzi tarehe 5 Machi, kamati ya ushauri ya wilaya ya Iramba DCC, ilipitisha maamuzi ya kuhamisha makao makuu ya wilaya ya Iramba,yaliyopo Kiomboi kwenda Kijiji cha Misigiri.Kikao hicho cha DCC kiliongozwa na Mkuu wa wilaya Mwenda.
Katibu wa kikao hicho mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya, alitoa hoja ya kuhamisha makao makuu ya wilaya, na sababu alizozitoa mosi, halmashauri haina majengo kwa kuwa yaliyopo ni ya serikali kuu.
Pili hospitali ya wilaya ni mali ya kkkt.
Ikumbukwe kuwa hila za kuhamisha makao makuu ya wilaya ya Iramba zimeanza siku nyingi.Maamuzi haya yamekiuka sheria kwa kuwa hayajawashirikisha wananchi.
Na uamuzi huu unakwenda kuua mji wa Kiomboi kwa kuwa Kiomboi haina kivutio kingine. Mwigulu anawatumia DC Mwenda na mkurugenzi Matomola, na wanapelekwa Denmaki.
Niwapongeze madiwani na mh DC wa Iramba kwa upendo wao kwa wanyiramba na wanasingida kwa ujumla. Barabara ya misigiri, ndago, sepuka mpaka singida mjini inaenda kuwekwa lami . Misigiri itakua ni katikati ya wilaya na itakua imeunganishwa kwa barabara za lami Kila upande, zikiunganisha miji ya ndago, misigiri, kiomboi na shelui. Kiujumla hili litafanya hii h/mashauri kuwa na mapato yakutosha. Mji utakua kwa Kasi maana huduma zitaimarika. Hongera pia kwa mwigulu kuingiza kwenye bajeti barabara ya ndago na Ile ya iguguno meatu na hydom. Hawa ndio viongozi tunaowataka.
Jamaa ni ndesi kabisa.Kwa hiyo naye anataka kuendeleza Chato yake ..... sasa kama atapewa Urais si ndiyo itakuwa tabu kabisa....!!
Unapofanya mabadiliko makubwa kama ya kuhamisha makao makuu ya halmashauri ya wilaya, lazima ushirikishe wananchi kupitia mikutano ya hadhara.Halafu elewa madiwani wote wa Iramba wamewekwa na mwigulu.Hawawezi kumpinga kwa lolote.Kwa Nchi yetu ushirikishwaji wa wananchi upo wa aina nyingi. Kama swala likipita kwenye Baraza la Madiwani maana yake hapo wananchi wameshirikishwa. Kamati ya Ushauti ya Wilaya (DCC) inajumuisha wadau mbalimbali ikiwepo watu maarufu,viongozi wa dini,wawakilishi wa wafanyabiashara,vijana n.k hivyo kama DCC iliridhia kwa mtazamo wangu hapo ushirikishwaji wa wananchi upo.
Hoja ya msingi ni swala la ki-Jiografia. Je kati ya Kiomboi na Misigiri wapi ni katikati ya Wilaya ?
Je kwa kuzingatia vijiji vyote vya Wilaya hiyo wananchi ni rahisi zaidi kufika wapi kati ya Kiomboi na Misigiri ?
Kwani Shida nini? Mfano Mbona MakaoTAMISEMI ikatae huo ujinga! Kwani majengo yakiwa ya serikali kuu yana shida gani? Hayo watakayojenga hapo Misigiri wameshindwa nini kuyajenga huko huko Kiomboi?
Nadhani swala la kuwa Mwigulu ndiye aliyewaweka madiwani wote sio issue sana. Bali tuangalie sababu zao ni zipi.Unapofanya mabadiliko makubwa kama ya kuhamisha makao makuu ya halmashauri ya wilaya, lazima ushirikishe wananchi kupitia mikutano ya hadhara.Halafu elewa madiwani wote wa Iramba wamewekwa na mwigulu.Hawawezi kumpinga kwa lolote.
Sawa mheshimiwa diwani.Nadhani swala la kuwa Mwigulu ndiye aliyewaweka madiwani wote sio issue sana. Bali tuangalie sababu zao ni zipi.
Nimeingia website ya Wilaya ya Iramba nikatazama ramani kwa ramani jinsi ilivyo Misigiri pako katikati ya Wilaya inawarahisishia wanachi wote kuwahi kufika eneo la huduma.
Kwa ramani invyoonekana kuna vijiji kama vile Mahenge,Nsonga Madawala n.k wanasafiri umbali mrefu mpaka kufika Kiomboi.
Hivyo nadhani swala la msingi ni kuangalia hoja zao zinasemaje.
Kuhusu kuwashirikisha wanachi, mara zote wanasiasa ndio wana nguvu so hata vikifanyika vikao bado hilo pendekezo litapita tu maana wananchi watawasikiliza wenyeviti wao pamoja na madiwani wanasemaje.
Ohoo mara hii umenigeuza kuwa Mh: Diwani ! Nilikua nachangia mada yako tu wala sina udiwani wowote.Sawa mheshimiwa diwani.
Mshukuru Mwigulu badala ya kumlaumu, pale Kiomboi ni kushoto sanaJuzi tarehe 5 Machi, kamati ya ushauri ya wilaya ya Iramba DCC, ilipitisha maamuzi ya kuhamisha makao makuu ya wilaya ya Iramba,yaliyopo Kiomboi kwenda Kijiji cha Misigiri.Kikao hicho cha DCC kiliongozwa na Mkuu wa wilaya Mwenda.
Katibu wa kikao hicho mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya, alitoa hoja ya kuhamisha makao makuu ya wilaya, na sababu alizozitoa mosi, halmashauri haina majengo kwa kuwa yaliyopo ni ya serikali kuu.
Pili hospitali ya wilaya ni mali ya kkkt.
Ikumbukwe kuwa hila za kuhamisha makao makuu ya wilaya ya Iramba zimeanza siku nyingi.Maamuzi haya yamekiuka sheria kwa kuwa hayajawashirikisha wananchi.
Na uamuzi huu unakwenda kuua mji wa Kiomboi kwa kuwa Kiomboi haina kivutio kingine. Mwigulu anawatumia DC Mwenda na mkurugenzi Matomola, na wanapelekwa Denmaki.
Wewe ni mjinga.Badala kupaboresha,unaamua kupaua kabisa.Mshukuru Mwigulu badala ya kumlaumu, pale Kiomboi ni kushoto sana