Kwa niaba ya makapuku woteNdugu Makapuku,
Malalamiko yenu kuhusu suala la Likes na mengineyo yanafanyiwa kazi. Hii ni changamoto ya JF nzima kwa sasa.
Na niwakumbushe tu, hizi harakati za 'Ukapuku' ziwe ni kwa nia njema na msisahau kuzingatia Sheria za JF.
Nawatakia kila la heri.
Th Name hayupo online ndo muhusikaFanya makeke ongeza usajili
tupo hapa kuuleta Umoja na Heshima za Jf Zilizopotea kwa sababu ya watu wachache wanaojiona Miungu watu. Tupo hapa kupigania usawa Ova?Ndugu Makapuku,
Malalamiko yenu kuhusu suala la Likes na mengineyo yanafanyiwa kazi. Hii ni changamoto ya JF nzima kwa sasa.
Na niwakumbushe tu, hizi harakati za 'Ukapuku' ziwe ni kwa nia njema na msisahau kuzingatia Sheria za JF.
Nawatakia kila la heri.
Makapuku oyeeeeeeeeetupo hapa kuuleta Umoja na Heshima za Jf Zilizopotea kwa sababu ya watu wachache wanaojiona Miungu watu. Tupo hapa kupigania usawa Ova?
OyeeeeeeeeeeeeeeeeMakapuku oyeeeeeeeee
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Kwa niaba ya founder Bitoz na Vice pamoja na Prime minister wa movement hii napenda kusema yafuatayo.
Nimefarijika mno kwa kufika kwako MOD, harakati hizi ni za nia njema na hazina motive nyingine tofauti na motives tajwa hapo juu.
Ukiachana na likes, tunataka usawa na heshima katika majukwaa yote, ikiwezekana ili kufanya hilo liwe reality, tembezeni BAN kwa the so called wakongwe pale wanapoonekana kudegrade intelligence za watu kwaajiri ya kigezo cha ukongwe.
JF ni yetu sote na kila mtu amheshimu mwenzake!
Nashukuru sana MOD umefika.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Oyeeeeeeeeeeeeeeee
Usisrme kwa Saudi....Makapuku hatari sana, mpaka sasa likes za prezidaaa wa makapuku zinasomeka 2,019.
Makapuku oyeeeee.
Kuwa kapuku tu ni sifa tosha......makapuku oyeeeeeMakapuku waheshimiwe na wapewe hadhi ka member wengine
Makapuku oyeeeeeKuwa kapuku tu ni sifa tosha......makapuku oyeeeee
Nilikuwa bize kidogo Kila sasa nimerudi prezidaaTh Name hayupo online ndo muhusika
Hehehehe mi naee.. Nikadhani tunapozi kusubiria ahadi ila nimekuelewa vizuri sasa. Hakuna kulala mpaka kielewekeππ dada nukta ni kule kwingine