Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,553
Kwa niaba ya makapuku woteNdugu Makapuku,
Malalamiko yenu kuhusu suala la Likes na mengineyo yanafanyiwa kazi. Hii ni changamoto ya JF nzima kwa sasa.
Na niwakumbushe tu, hizi harakati za 'Ukapuku' ziwe ni kwa nia njema na msisahau kuzingatia Sheria za JF.
Nawatakia kila la heri.
Tunashukuru malalamiko yetu yanafanyiwa kazi , tunaomba jibu lipepele kule kule tulipopeleka lalamiko letu
Tunaheshimu sheria za Jf na tutaendelea kuzifuata
Makapuku Founder
The Bitoz