Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ndugu Makapuku,

Malalamiko yenu kuhusu suala la Likes na mengineyo yanafanyiwa kazi. Hii ni changamoto ya JF nzima kwa sasa.

Na niwakumbushe tu, hizi harakati za 'Ukapuku' ziwe ni kwa nia njema na msisahau kuzingatia Sheria za JF.

Nawatakia kila la heri.
Kwa niaba ya makapuku wote
Tunashukuru malalamiko yetu yanafanyiwa kazi , tunaomba jibu lipepele kule kule tulipopeleka lalamiko letu

Tunaheshimu sheria za Jf na tutaendelea kuzifuata

Makapuku Founder
The Bitoz
 
Ndugu Makapuku,

Malalamiko yenu kuhusu suala la Likes na mengineyo yanafanyiwa kazi. Hii ni changamoto ya JF nzima kwa sasa.

Na niwakumbushe tu, hizi harakati za 'Ukapuku' ziwe ni kwa nia njema na msisahau kuzingatia Sheria za JF.

Nawatakia kila la heri.
tupo hapa kuuleta Umoja na Heshima za Jf Zilizopotea kwa sababu ya watu wachache wanaojiona Miungu watu. Tupo hapa kupigania usawa Ova?
 
Kwa niaba ya founder Bitoz na Vice pamoja na Prime minister wa movement hii napenda kusema yafuatayo.

Nimefarijika mno kwa kufika kwako MOD, harakati hizi ni za nia njema na hazina motive nyingine tofauti na motives tajwa hapo juu.

Ukiachana na likes, tunataka usawa na heshima katika majukwaa yote, ikiwezekana ili kufanya hilo liwe reality, tembezeni BAN kwa the so called wakongwe pale wanapoonekana kudegrade intelligence za watu kwaajiri ya kigezo cha ukongwe.

JF ni yetu sote na kila mtu amheshimu mwenzake!

Nashukuru sana MOD umefika.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Back
Top Bottom