Makapuku Forum

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ujue nacheka sana..
Kuna kitu nakumbuka nacheka mwenyewe hapa..
Aaah kwani ushawahi kuwa na maaana wewe sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bora hata mkimbiaji alirudi na medali.
 
Winfred Mueni (28) amefikishwa katika Mahakama ya Makadara jijini Nairobi, akishtakiwa kwa mauaji ya kutokusudia baada ya mpenzi wake Titus Njoroge Kimani (30), kufariki dunia wakati wa tendo la ndoa.

Tukio hilo linadaiwa kutokea nyumbani kwa marehemu katika Mtaa wa Baba Dogo, Ruaraka, jijini humo.

Mtandao wa Taifa leo umeripoti kuwa Mueni anashtakiwa kwa kufupisha maisha ya mpenzi wake Septemba 22, 2023, ambapo inadaiwa kuwa wakiwa katika tendo ndoa, na hasa wakati Kimani anafika kileleni, alipoteza fahamu na kuanguka.

Inadaiwa kuwa kuwa Winfred alijaribu kuokoa maisha ya mpenzi wake kwa kumpeleka hospitali, hata hivyo, baada ya kufika, alielezwa kuwa Kimani amekwishafariki.

Kwa mantiki hiyo, mahakama hiyo imeelezwa kuwa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (ODPP), inamshtaki Winfred, kwa kile kinachodaiwa kuwa ni β€œmtu wa mwisho kuonekana na marehemu” kabla ya kifo chake.

 
Khaaah 🀣🀣🀣
 
Hii Dec imekuja ghafla sana bwana. Hebu tusubiri nyingine.

Maki mwenyewe nimezunguka kutafuta keki ya afusaba nimekosa. Anywe tu mbege atulie.
[emoji1787] Anywe mbege nyieee huyu auntie bahiliii hapana aisee Dec tunayo tunatamba nayo nikupe kabisa no ya wakala ya lipa kwa simu au utatuma kwenye no yangu Shunie ya Dec na maokoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…