[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hiyohiyo auntie tugawane umasikini bwanahNdio uotee kwenye wallet yangu? Kenge we[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo ni mishahara yangu 6
Hivi si disposable zipo? Siipendi hiyo kazi na kufua.Kazi ya kuosha vyombo siipendi [emoji1787] toka nipo mdogo mpaka sasa na uzee wangu jamani sipendi kuosha vyombo mimi
Unitue 🙆🙆🙆[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hiyohiyo auntie tugawane umasikini bwanah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaaa disposable tena auntie acha tuendelee kuosha vyombo huku tumenuna jamani sipendi kuosha vyombo tena maji yawe yamekatika bombani nguvu zote zinaishaHivi si disposable zipo? Siipendi hiyo kazi na kufua.
Kweli bwana ujue nakutegemea tar 27 nitakutumia lipa no au nikutumie kabisa uisave [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unitue [emoji134][emoji134][emoji134]
Au tusipike tu 🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaaa disposable tena auntie acha tuendelee kuosha vyombo huku tumenuna jamani sipendi kuosha vyombo tena maji yawe yamekatika bombani nguvu zote zinaisha
Ni balaa Auntie[emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Auntie mahela na mauwa yake
Aah we ninavyopenda kupika nikiwa nyumbani nile chakula ninachokitaka ila vyombo sipendi jamaniiii nilijua nikiwa mkubwa nitabadilika tabia ipo mpaka uzeeni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Au tusipike tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie kadri ninavyozeeka ndio nagundua hamna kazi ninapenda🤣Aah we ninavyopenda kupika nikiwa nyumbani nile chakula ninachokitaka ila vyombo sipendi jamaniiii nilijua nikiwa mkubwa nitabadilika tabia ipo mpaka uzeeni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi tukifika usa kazi utakayoweza ni ya kusafisha wazee tu auntieMie kadri ninavyozeeka ndio nagundua hamna kazi ninapenda[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ameen na atanifanyia wepesi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mungu akufanyie wepesi.
Aaah msinisahau kwenye ufalme wenu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]