Makapuku Forum

Makapuku Forum


Msimu wa sikukuu unaambatana na mvua za kutosha na haituzuii kupanga safari za kurudi kusalimia wote walio karibu yetu. tunaoenda kuwaona au wanaokuja kutuona tunawategemea waje na 'zawadi' za sikukuu. Ndiyo utaratibu ulivyo na endelea kujipanga kwenye juma la mwisho kabla ya Noel na kuumaliza 2023.

Ndugu yenu nipo na ninawatakia maandalizi mazuri ya mwisho wa mwaka. Mara zote hapa ni sehemu nzuri kuwepo sababu kuna watu wema sana
 
Back
Top Bottom