Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah wajomba zangu ,wametolewa kumbeMabingwa watetezi Mlandege FC wametinga fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuitoa APR ya Rwanda kwa mikwaju ya penati 4-2.
Mchezo huo wa nusu fainali ya kwanza uliochezwa Uwanja wa News Amaan Complex leo Jumanne, Januari 9, 2024 ulimalizika dakika 90 kwa suluhu.
Mlandege inasubiri mshindi baina ya Simba dhidi ya Singida Fountain Gate utakaochezwa kesho uwanja huo huo.
FT: Mlandege FC 0-0 APR FC (Pen: 4-2)
View attachment 2867019