Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natumia Browser Auntie..Naendelea vizuri auntie hivi una comment jf küpitia nini auntie tapatalk au browser maana me kwa tapatalk naambiwa mpaka nilipie
Auntie hivyo vitu usivyovielewa ndio vipo kuja kwangu sasa hawaruhusu kucomment mpaka ulipie yaani nimekuwa mvivu kucommentNatumia Browser Auntie..
Tapatalk nina muda mrefu sana sijaitumia....ni kama kuna vitu sielewi....
Mimi natamani waturudishie app ya zamani..
😍😍😍😍😍Auntie hivyo vitu usivyovielewa ndio vipo kuja kwangu sasa hawaruhusu kucomment mpaka ulipie yaani nimekuwa mvivu kucomment
Huo muamala umeuona eenh na simu yako naiona 🤣🤣🤣 yaani nimekumbuka auntie kazaliwa November 14 ndio nakumbuka saa hii agiza flying fish auntie ujinywee au wine nisamehe bure ni huu uzee nimesahau lakini hii week yote ulikuwa moyoni mwangu Makiwendo
Happy birthday auntie yangu kipenzi 🥰 sijutii kukufahamu kabisa yaani Mungu wangu azidi kukupa maisha marefu zaidiii yenye baraka nyingiiiii Asante sana melo na Jf yako kwa kunikutanisha na huyu mrembo wangu 🙏🤭 auntie maki nakupenda upo moyoni kwangu 😍
Najua nimechelewa kukuwish hakijaharibika kitu auntie Atoto Obe makaveli10 mbalizi1 moudgulf Poker Lee na makapuku wote njooni tumuwish auntie yangu 🥰 tunapokea zawadi jamaniiii haswa miamala 🤣🤣🤣 auntie simu zako na text zako naziona nipo busy Kütype jua tu nakupenda sanaaaa 🥰 Tresor Mandala min -me ERoni Sakayo ndugu yangu nakujua wewe 🤣🤣 utapitia kimyakimya njoo apa tumuwish auntie makii Mzigua90 Dejane reymage njoeniiiii 🥰🤣
Anywe flying fish 10, akiweza kumaliza na nyingine akibeba hakuna tabu, nitalipa mimi.Auntie hivyo vitu usivyovielewa ndio vipo kuja kwangu sasa hawaruhusu kucomment mpaka ulipie yaani nimekuwa mvivu kucomment
Huo muamala umeuona eenh na simu yako naiona 🤣🤣🤣 yaani nimekumbuka auntie kazaliwa November 14 ndio nakumbuka saa hii agiza flying fish auntie ujinywee au wine nisamehe bure ni huu uzee nimesahau lakini hii week yote ulikuwa moyoni mwangu Makiwendo
Happy birthday auntie yangu kipenzi 🥰 sijutii kukufahamu kabisa yaani Mungu wangu azidi kukupa maisha marefu zaidiii yenye baraka nyingiiiii Asante sana melo na Jf yako kwa kunikutanisha na huyu mrembo wangu 🙏🤭 auntie maki nakupenda upo moyoni kwangu 😍
Najua nimechelewa kukuwish hakijaharibika kitu auntie Atoto Obe makaveli10 mbalizi1 moudgulf Poker Lee na makapuku wote njooni tumuwish auntie yangu 🥰 tunapokea zawadi jamaniiii haswa miamala 🤣🤣🤣 auntie simu zako na text zako naziona nipo busy Kütype jua tu nakupenda sanaaaa 🥰 Tresor Mandala min -me ERoni Sakayo ndugu yangu nakujua wewe 🤣🤣 utapitia kimyakimya njoo apa tumuwish auntie makii Mzigua90 Dejane reymage njoeniiiii 🥰🤣
We mmachame, basidei gelo anakupaje zawadi wewe, hebu tutolee uchaga wako hapa.
Nimekumiss mpaka naumwa mpenzi wangu😍😍😍😍We mmachame, basidei gelo anakupaje zawadi wewe, hebu tutolee uchaga wako hapa.
HBD MakiAuntie hivyo vitu usivyovielewa ndio vipo kuja kwangu sasa hawaruhusu kucomment mpaka ulipie yaani nimekuwa mvivu kucomment
Huo muamala umeuona eenh na simu yako naiona 🤣🤣🤣 yaani nimekumbuka auntie kazaliwa November 14 ndio nakumbuka saa hii agiza flying fish auntie ujinywee au wine nisamehe bure ni huu uzee nimesahau lakini hii week yote ulikuwa moyoni mwangu Makiwendo
Happy birthday auntie yangu kipenzi 🥰 sijutii kukufahamu kabisa yaani Mungu wangu azidi kukupa maisha marefu zaidiii yenye baraka nyingiiiii Asante sana melo na Jf yako kwa kunikutanisha na huyu mrembo wangu 🙏🤭 auntie maki nakupenda upo moyoni kwangu 😍
Najua nimechelewa kukuwish hakijaharibika kitu auntie Atoto Obe makaveli10 mbalizi1 moudgulf Poker Lee na makapuku wote njooni tumuwish auntie yangu 🥰 tunapokea zawadi jamaniiii haswa miamala 🤣🤣🤣 auntie simu zako na text zako naziona nipo busy Kütype jua tu nakupenda sanaaaa 🥰 Tresor Mandala min -me ERoni Sakayo ndugu yangu nakujua wewe 🤣🤣 utapitia kimyakimya njoo apa tumuwish auntie makii Mzigua90 Dejane reymage njoeniiiii 🥰🤣
Mie nimekumiss zaidi kipenzi changu.Nimekumiss mpaka naumwa mpenzi wangu😍😍😍😍
Ulipotelea wapi?Mie nimekumiss zaidi kipenzi changu.
Duuuu🙄😛 Shunie mbona unampenda mkuu Makiwendo Kupita kiasi cha upendo!!?Auntie hivyo vitu usivyovielewa ndio vipo kuja kwangu sasa hawaruhusu kucomment mpaka ulipie yaani nimekuwa mvivu kucomment
Huo muamala umeuona eenh na simu yako naiona 🤣🤣🤣 yaani nimekumbuka auntie kazaliwa November 14 ndio nakumbuka saa hii agiza flying fish auntie ujinywee au wine nisamehe bure ni huu uzee nimesahau lakini hii week yote ulikuwa moyoni mwangu Makiwendo
Happy birthday auntie yangu kipenzi 🥰 sijutii kukufahamu kabisa yaani Mungu wangu azidi kukupa maisha marefu zaidiii yenye baraka nyingiiiii Asante sana melo na Jf yako kwa kunikutanisha na huyu mrembo wangu 🙏🤭 auntie maki nakupenda upo moyoni kwangu 😍
Najua nimechelewa kukuwish hakijaharibika kitu auntie Atoto Obe makaveli10 mbalizi1 moudgulf Poker Lee na makapuku wote njooni tumuwish auntie yangu 🥰 tunapokea zawadi jamaniiii haswa miamala 🤣🤣🤣 auntie simu zako na text zako naziona nipo busy Kütype jua tu nakupenda sanaaaa 🥰 Tresor Mandala min -me ERoni Sakayo ndugu yangu nakujua wewe 🤣🤣 utapitia kimyakimya njoo apa tumuwish auntie makii Mzigua90 Dejane reymage njoeniiiii 🥰🤣
Nipo kariakoo naokoa watanzania wenzetuUlipotelea wapi?
Happy Birthday mkuu Makiwendo .Natumia Browser Auntie..
Tapatalk nina muda mrefu sana sijaitumia....ni kama kuna vitu sielewi....
Mimi natamani waturudishie app ya zamani..
Nakupenda zaidi Auntie wangu mzuri...Auntie hivyo vitu usivyovielewa ndio vipo kuja kwangu sasa hawaruhusu kucomment mpaka ulipie yaani nimekuwa mvivu kucomment
Huo muamala umeuona eenh na simu yako naiona 🤣🤣🤣 yaani nimekumbuka auntie kazaliwa November 14 ndio nakumbuka saa hii agiza flying fish auntie ujinywee au wine nisamehe bure ni huu uzee nimesahau lakini hii week yote ulikuwa moyoni mwangu Makiwendo
Happy birthday auntie yangu kipenzi 🥰 sijutii kukufahamu kabisa yaani Mungu wangu azidi kukupa maisha marefu zaidiii yenye baraka nyingiiiii Asante sana melo na Jf yako kwa kunikutanisha na huyu mrembo wangu 🙏🤭 auntie maki nakupenda upo moyoni kwangu 😍
Najua nimechelewa kukuwish hakijaharibika kitu auntie Atoto Obe makaveli10 mbalizi1 moudgulf Poker Lee na makapuku wote njooni tumuwish auntie yangu 🥰 tunapokea zawadi jamaniiii haswa miamala 🤣🤣🤣 auntie simu zako na text zako naziona nipo busy Kütype jua tu nakupenda sanaaaa 🥰 Tresor Mandala min -me ERoni Sakayo ndugu yangu nakujua wewe 🤣🤣 utapitia kimyakimya njoo apa tumuwish auntie makii Mzigua90 Dejane reymage njoeniiiii 🥰🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Fanya namna nipo ya sita hapa MakaveliAnywe flying fish 10, akiweza kumaliza na nyingine akibeba hakuna tabu, nitalipa mimi.
Mmmmmmmmh!!!Nimekumiss mpaka naumwa mpenzi wangu😍😍😍😍
Ahsante MbaliziHBD Maki