Hahahahahaha ikabadili maana nzimaNi kweli unaamnisha alale salama ,tatizo linakuja ukilimuvuzisha kwendwa kwenye Kirengesa
Au umeshiba likesUchovu
Lala salamaJamani wakukesha kesheni. G9t
Hali imekua tete sa moja kamili kesho natakiwa niwe njianiPumzi fupi.
Nakukimbia weweAu umeshiba likes
Sasa basi mi sina namna tena ya kumsaidia maana pale ndo nilijitahidi sana kumfikiria........ Ila naona ye ni fungu la kukosa tu[emoji2] [emoji2] [emoji2]Labda Ndugu Mshana amsaidie kwenye yale mambo yake walau ageuze Actros kuwa kobe mnyama ndoto za Ibra zitakua zimetimia ,vinginevyo namwonea huruma
Kwenye hilo swala hakuna mjanja aiseeWaoga utawajua tu[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nishaomba usajili kwa makapuku mkuu.Heee hebu tutolee uchuro huku ,kapuku umejiunga 2012 ?? Acha aibu bana Mkongwe si uwe huru tu useme mwenyewe unatamani kuwa kapuku ?
Huyu mtoto naomba asiguswe kabisa.Nahrene nampigia hesabu lakini du! Wababe weshatia timu sidhani kama atanikubari mie Kapuku!
Naww tenaNahrene nampigia hesabu lakini du! Wababe weshatia timu sidhani kama atanikubari mie Kapuku!
Haya usiku mwemaUchovu
Pole sana mkuu,ulale unonoHali imekua tete sa moja kamili kesho natakiwa niwe njiani
Mwingine huyu tena.. Youngblood na wenzako kazi mnayoHivi wajameni humu ndani naruhusiwa kuchomekea ukanda ?? Kuna mahali niliona kama Nahrene ni sistaa wangu wa Arusha
Teh teh Mkongwe ni nini kimekuvutia kuwa kapuku ?? Nilipitwa na usajili wako,halafu huyo unayetaka kumzengea ni mali ya mkongwe mwenzakoNishaomba usajili kwa makapuku mkuu.
Uchawi hauvuki bahari ndugu, usijidanganye kabisaaaaLeo ni wireless kwakuwa nataka nifike Noorkoping. ..
Shida nini tena!Nakukimbia wewe