Na mimi nilipewa majibu kama yako ila nimo tu...hakuna namnaDu! Nimekosa umemba basi nitakua shabiki
Ninayo moja tu [emoji134] [emoji134] [emoji134]Tumia zile id's zako zote alternatingly
Mimi siwezi kukuacha hapa,wasije wakakuiba.Kalale huko [emoji2]
Ruksa kuchat muda wowote ule, sisi hatuna ubaguzi na kabisaDu! Nimekosa umemba basi nitakua shabiki
Mimi unihadithie tu ndoto utakayoota
Basi ongeza zingine uwe nazo angalau tano kama mimiNinayo moja tu [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Wanaume wa Dar??? Wakija kutuchukua Sitimbi wapoleee sasa ngoja ufike Dar uone wanavyobadilika kama sio waleMnashida nyie mlioolewa....hamwezi kulala hadi waume zenu warudi[emoji125]
Tukijaliwa kuamka salama. NitakuhadithiaMimi unihadithie tu ndoto utakayoota
Mko wawili[emoji3] [emoji12] mnapumzikaje kwa mfano wakati ndo kwanza muda muafaka[emoji125]
Za nini.Basi ongeza zingine uwe nazo angalau tano kama mimi
Kweli hamna namna makapuku wanabamba na sie tusio wabaguzi tuwaunge mkono.Na mimi nilipewa majibu kama yako ila nimo tu...hakuna namna
Kwahiyo unanisubiri eeh??Mimi siwezi kukuacha hapa,wasije wakakuiba.
Au utumie ule utaribu wa kubadilisha gia hewani kama mbowe alivyofanya ,tuwateke hawa wakongwe waje kwa makaupuku ,ni mwendo tu wa mabadilikoooo ,Atafute ID mpya....
.......................................
Kupost mfululizoZa nini.
Tunatamani kuendelea ila ngoja tupumzikeMko wawili[emoji3] [emoji12] mnapumzikaje kwa mfano wakati ndo kwanza muda muafaka[emoji125]
Unakomaa mpaka kielewekeNa mimi nilipewa majibu kama yako ila nimo tu...hakuna namna
Nakusubiri.Kwahiyo unanisubiri eeh??
Ntashukuru [emoji5] [emoji5]Tukijaliwa kuamka salama. Nitakuhadithia