Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,553
Kabla sijarudiii kijijini huku mchamba wima nilikuwa namiliki bajaji ikaja kufa kwa ukumbusho nikajiita kibajaji karibu tulime matikiti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla sijarudiii kijijini huku mchamba wima nilikuwa namiliki bajaji ikaja kufa kwa ukumbusho nikajiita kibajaji karibu tulime matikiti
#TeamNoFakeZone[emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111]Naombeni makapuku wote upendo huu muendelee kuwa nao ni mojawapo ya nyuzi zenye true feelings of love
Sawa mkuu mshana jr nawe pia usiache mambo yako yale.Naombeni makapuku wote upendo huu muendelee kuwa nao ni mojawapo ya nyuzi zenye true feelings of love
Nimefika sasa[emoji143] [emoji143] [emoji143] [emoji143] [emoji143]Alikuwa anatafuta mlinzi wa likes.
Au jiite kiaziHahahahahaha nitajiita bishoo
Hehehe nilikimbia madeniKwanini unabadili sana IDs
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu potezea kule kwa jirani kwenye fix
Kumejaa nzi tu
.................................
Hili jina naliunga mikono na miguu........ Ajiite Kiazi tu maana hakuna jina lingineAu jiite kiazi
Kumbe wewe tapeliHehehe nilikimbia madeni
Utetezi utakuja baada ya utafiti kuwa mpole naenda msata sasa hiviHapana mkuu, rejea kanuni ya kutoa na kupokea,
Ndio siri ya mafanikio yetu makapuku wote
Kiazi haaaaaa mambo gani hayo sasaAu jiite kiazi
Safe trip then..... Ukija utakuta mafanikio yamezidi marudufuUtetezi utakuja baada ya utafiti kuwa mpole naenda msata sasa hivi
HahahhaJina lake kibaja akaamua kulibuni kidogo
Unawasiliana na mod yoyote aliyeko hewani then anakubadilishiaUnafanyaje kubadili??? Labda nikiharibu huku nami nibadili[emoji13]
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]Safe trip then..... Ukija utakuta mafanikio yamezidi marudufu
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji126] [emoji126][emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]