Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Uzuri ni kwamba pamoja na kubebwa koote huko, wamepigwa!!!tena walibebwa sana..
Iniesta pale alipodaka mpia alifaa apigwe red card kwa sababu alikiwa mchezaji wa mwisho.
na Gerrad Pique pia alifaa apigwe red card kwa kumshika miguu mchezaji wa Atletico kwa makusudi kabisa.
sasa huoni hapo pia walibebwa sana..