Makapuku Forum

Makapuku Forum

tena walibebwa sana..

Iniesta pale alipodaka mpia alifaa apigwe red card kwa sababu alikiwa mchezaji wa mwisho.

na Gerrad Pique pia alifaa apigwe red card kwa kumshika miguu mchezaji wa Atletico kwa makusudi kabisa.

sasa huoni hapo pia walibebwa sana..
Uzuri ni kwamba pamoja na kubebwa koote huko, wamepigwa!!!
 
Barcelona imekukosea nini had unaichukia saaaana
wala siichukii, ila nacheka sana kuona leo mmetolewa huku hamna sababu yoyote ya kujitetea..
Neyma na Suares wamekabwa sànà leo mpka wanacheza rafu za wazi kabisa na kupigwa yellow card
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji12]
 
Sikio la kufa haliwez sikia dawa hata nikikueleza vip bado utapinga
yani leo hauna cha kujitetea kabisa ni bora ukanyamaza kimya tu..

au unataka kusema leo kuwa wachezaji wa Atletico woye mliwaona wakiwa wamevaa hirizi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sababu penat ya wazi
ona sasa umekosa cha kujitetea..

au ngoja tufanye takwimu za kitoto kidogo:

tufanye kwamba hyo unayodai umenyimwa penati, tuicancell kwa ile ya Atletico kunyimwa penati kwa Pique..
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
haya leta malalamiko mengine tena
 
Mimi nipo mkuu japo chaji inanitupa mkono na kila nikifumba macho namuona refa akikataa penat
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] aiseeee!!
ila tatizo lenu nyie mashabiki wa Barcelona hamjazoea kupata maumivu mara kwa mara..
hivyo ikitokea mistake moja kama hii mnaumia sanaaa..

kawaulize washabiki wa Arsenal maumivu yako vipi? watakujibu cos wao wameshazoea imekuwa kama ni desturi kwao vileee
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom