Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,461
- 35,218
Siwezi Fanya hivyo ndugu yanguWewe endelea tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi Fanya hivyo ndugu yanguWewe endelea tu.
Hivi wewe ni PM au waziri mkuu??Mimi mzima pia. Mimi ndio prime minister wa Makapuku.
Bora Njombe kwenye baridi
Sawa mkuuSiwezi Fanya hivyo ndugu yangu
Waziri mkuu. Pm ni private messageHivi wewe ni PM au waziri mkuu??
Zimefika shemu[emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji3] msalimie Shem.....
wachoya = wachoyoKusema kweli makapuku mmekuwa sana wachoya wa likes,sijui ni hii speed au mmeamua tu sielewi***
Wii napita tu..... Hivi aliyetunukiwa ni yupi???hilo pendo ndo hii wat so called "like" ama??
Vipi lakini ndoa yako iko salamaSawa mkuu
Kwakweli makapuku mnanifanya niwe stress FREE.Hakuna kabisaaaaaaa! Hakika hapa ndo penyewe
Lol tatizo unachanganya sana sumuWaziri mkuu. Pm ni private message
Iko salama kabisa mkuu.Vipi lakini ndoa yako iko salama
Kaamuaje?Braza Th Name ameshaiona tayari, nasubiri maamuzi.
Next level unamaanisha unajiona upo peponi au wapi?Kiukweli kutoka moyoni nimeikubali hii sehemu maana watu wanachangia, tupia like na mambo mengine kama hayo....heshima kwako uliefikiria kuanzisha forum hii maana hata kapuku mimi najiona next level......!
Ataacha kuja chezea makapuku forum full love hapaAaahhhh
Best umekuja huku....
Karibu sanaaaa
Waziri mkuu na prime minister ni tofauti eeh maana mimi sijui kabisaLol tatizo unachanganya sana sumu
Nilijua prime minister [emoji12]
Like basi kwanza hata niongezekewe "like"Mkuu naomba nisaidie kusoma jina lako!