EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,099
- 25,347
Hawajakuzingua nilipokuwa off?🙂🙂🙂🙂🙂 nothing to say bae!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajakuzingua nilipokuwa off?🙂🙂🙂🙂🙂 nothing to say bae!
*148*55#Hahaaaa...
Mchokozi weweeee
Halotel kifurushi cha chuo kitawahusu[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Mkuu naomba nisaidie kusoma jina lako!Mnadhimu Makapuku Nipo
Walianza kutoa moja mojaNani kaiba tena?
Na mazingira yake yanavutia piaHii sehemu safi sana
Hiyo mbona lazima nipost mie kiulaini kabisa.Hiyo adhabu ntaikubali tu aisee. Niachie tu hiyo post nitupie mimi puliz!!
we tulikuwa tunajadili boko haram kule na like nimekupa..bado waja huku walalamika..Wataka like ngapi sema nkupe ulale vizur😕😕😕Likes ndio lengo hasa la uzi huu mkuu
Mimi pia nimerudi rasmi, nilikuwa busy sana leoSasa nimerudi rasmi
Siku hizi like za JF zimekuwa dili sana, we mpe tu kwani bei gani bwana?we tulikuwa tunajadili boko haram kule na like nimekupa..bado waja huku walalamika..Wataka like ngapi sema nkupe ulale vizur😕😕😕
hapana hunHawajakuzingua nilipokuwa off?
na mimi naomba pendo lakowe tulikuwa tunajadili boko haram kule na like nimekupa..bado waja huku walalamika..Wataka like ngapi sema nkupe ulale vizur😕😕😕
Karibu sana Mkuu.Sasa nimerudi rasmi
Hahaha mkuu c unajua hapa ndo kwao na likes za kapuku!!!we tulikuwa tunajadili boko haram kule na like nimekupa..bado waja huku walalamika..Wataka like ngapi sema nkupe ulale vizur😕😕😕
Karibu sanaMimi pia nimerudi rasmi, nilikuwa busy sana leo
Kwani hujamuona damtanzania? Akiwepo watu hawaishiwi bundlekuna mtu kakununulia bando?