Makapuku Forum

Hahahahaa kuna watu wamejibinafsishia jf....eti umejiunga juzi!!! Kwani kuwa jf siku nyingi ndio kuwa na busara na ufahamu!!!

Me huwa nawapotezea tu!!!

あかなはやかさ!!!
Basi hapa ndio sehemu yako ya kujidai, kama bado hujawekwa kwenye list mcheki Th Name akuuweke pale kwenye list yetu. Sisi kazi yetu ni kupeana sapoti na kuhakikisha dharau inaisha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…