Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Kweli kabisa makapuku umaarufu tunaupiga marufuku.Taratibu za kujiunga ni kama nilivyoielewa, pia tembeza likes kwa wenzio mana makapuku kwetu uchoyo mwiko na wote ni sawa hatuna star wala nini, karibu sana kwenye chama