Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mi anytime naweza kulala, nawasihi mtakaokuwa macho mhakikishe chat inaendelea hapa bila kuvunja misingi wala sheria za Jamii Forum, pia msisahau kwenda kwenye ule uzi wetu kule jukwaa la malalamiko na kuweka nukta, msikoment ni nukta tu inatosha.
Tupeane Likes, tushirikiane pasiwe na ubaguzi, sisi wote ni sawa bila matabaka
 
Back
Top Bottom