Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mkuu makapuku wote tuna sifa za kuongoza,naamini hivyo sababu nimegundua tu wamoja
Ndio wote ni sawa, ila sasa isifike mahali ukaona cheo ndo kila kitu, hiyo itapelekea kujiona mnyonge pale unapokosa nafasi hiyo, ndio mana sisi tunalilia usawa,
Makapuku tunaamini wote ni sawa na tuna haki sawa kama wengine bila kujali tarehe ya mtu kujiunga JF
 
Back
Top Bottom