Makapuku Forum

Makapuku Forum

Haya wale wanaochukulia movement hii kama kukosa kazi na kutafuta kick waje waexplain hii....

JF where we dare to talk open🙄🙄

Huo uopen uko wapi sasa?!

MODs mturudishie heading yetu bhana!!!😡😡 not fair
Imerudishwa....
MAKAPUKU oyeeeeeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hatuwezi kuabudu watu wenye chuki na makapuku, wanapost upuuzi wanapewa ufagio wa milele.. Hii ni namba mpya, mapambano mapya.. Kucheka na adui ni kukubali kuuza siri zako.. Kama wao wakongwe basi sisi ni wajuzi lakini wenye Ujuzi kuliko wao...
 
Naona makapuku Mmeanzisha uzi wa kupeana likes ili kuwafunika wakongwe ...

Ni bonge la idea heshima kwa ..
Bitoz
Jimena
Th Name
sizzya007
ibra87
and co.
Mkuu sio kupeana Likes Bali ni kuingia kila chaka kurudisha heshima Iliyopotea kwa kuwapa sifa wasiyostahili. Hii ni Zaidi Ya wao na kiboko Ya wao... Tunahitaji kufanya mapinduzi katika vitengo vyote.
 
Afu wabongo ni watu kuogopa sana majina, unakuta kapuku umepost kitu cha maana kweli, post ya kwanza akichangia the so called mkongwe akakuponda, basi ujue you are doomed!! Kika anayekuja atakupnd tu.

Yani kuna some kind of persona worship ambayo it has to go😡😡
 
Back
Top Bottom