Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ila wakongwe wengine ni wazuri siyo wote ni wabaya
Humu hakuna chuki...matusi....dharau....tunamjibu mtu kulingana na post zake
Hatuzuii wakongwe kutoa maoni yao bali wakileta magumashi tutaignore......sio wakongwe wote ni wabaya
Mkuu mbona kuna wakongwe wengine wanaheshima na nidhamu...

Swalama?
 
Endelea tuu mkuu....Si unajua mambo ya behind keybod

Haya mambo yalikukosesha Nini?
Wachuchu hasa wenye 'vitu adimu'
1460266620280.jpg
 
Humu hakuna chuki...matusi....dharau....tunamjibu mtu kulingana na post zake
Hatuzuii wakongwe kutoa maoni yao bali wakileta magumashi tutaignore......sio wakongwe wote ni wabaya

Tukumbuke lengo la movement hii sio kuigawa Jf ila kuleta usawa na kuondoa matabaka yaliyowekwa na wale wanaojiita wakongwe na kuwaita wenzao mulugo's effect na majina mengineyo hivyo usisahau kulikumbusha hili mkuu
 
Back
Top Bottom