Makapuku Forum

Makapuku Forum

aaah wapo wengi wenye heshima na wanaoniheshimu... Lakini nataka kujua hivi wewe utajiita mkongwe kweli?
Sijajua paka sasa dhana ya ukongwe inamaanisha Nini? Labda unipe darasa...
Maaana kama ni umri Wa kuwa jf..? Au it goo beyond that....
Ila dhana ya kapuku nimeielewa vema. Kana dharau flani hivi japo binafsi haijawahi kunikuta ila huwa siipend
 
Back
Top Bottom