Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kuna jambo moja nataka niliweke sawa hapa!!

Binafsi nina nidhamu ya hali ya juu katika uandishi wangu, BINAFSI, nasisitiza tena BINAFSI.
Wengine wanaweza wakawa hawako sawa na mimi katika hili, hilo ni la kawaida. Hatuwezi kufanana katika kila jambo.

Hivi inamkera nini mtu pale memba flani anapoamua kuandika XAXA badala ya SASA?! Tuwe wakweli katika hili, nadhani tunaweza kutofautiana misimamo ila tunaweza kupata common platform katika hili. Kama mtu kaandika XAXA, na wewe ukajua kuwa alitaka kuandika SASA kwanini usiichukulie maana inayofit na uendelee tu?!

Kama nilivyotangulia kusema, hatuwezi kufanana kitabia, kariba na mwenendo hivyo basi lazima tuishi kwa kuchukuliana na kuchukulia baadhi ya mambo kwa upole. Najua kuna watu watapinga hili ila ndio hivyo.

Kama xaxa inaelewa inamaanisha sasa why bother?!
Mkuu watu hawapendi kwasababu pamoja na kuwa tunachangia hapa pia tunasaidia KUKUZA LUGHA YETU YA KISWAHILI,na pia wasomaji wa JF si watanzania tu.

Samahani kama umekwazika mi maoni yangu tu.
 
Tukiwatenga ndugu zetu wa xaxa😀 badala ya sasa ebu mniambie tunafanya lipi tofauti na kutengwa na wakongwe ambako tulipitia😀😀

Soma na chukua content hayo mambo ya *xaxa* mwachie mwenyewe😱😱
 
Kuna jambo moja nataka niliweke sawa hapa!!

Binafsi nina nidhamu ya hali ya juu katika uandishi wangu, BINAFSI, nasisitiza tena BINAFSI.
Wengine wanaweza wakawa hawako sawa na mimi katika hili, hilo ni la kawaida. Hatuwezi kufanana katika kila jambo.

Hivi inamkera nini mtu pale memba flani anapoamua kuandika XAXA badala ya SASA?! Tuwe wakweli katika hili, nadhani tunaweza kutofautiana misimamo ila tunaweza kupata common platform katika hili. Kama mtu kaandika XAXA, na wewe ukajua kuwa alitaka kuandika SASA kwanini usiichukulie maana inayofit na uendelee tu?!

Kama nilivyotangulia kusema, hatuwezi kufanana kitabia, kariba na mwenendo hivyo basi lazima tuishi kwa kuchukuliana na kuchukulia baadhi ya mambo kwa upole. Najua kuna watu watapinga hili ila ndio hivyo.

Kama xaxa inaelewa inamaanisha sasa why bother?!
[emoji450] [emoji445] [emoji441] tabasamu juu ni meza ya mabrotheeer, DONT BOTHER
toto mbili tatu kutia ladhaaaaaa
DONT BOTHER
 
Mkuu watu hawapendi kwasababu pamoja na kuwa tunachangia hapa pia tunasaidia KUKUZA LUGHA YETU YA KISWAHILI,na pia wasomaji wa JF si watanzania tu.

Samahani kama umekwazika mi maoni yangu tu.

Hamna brother, sijakwazika.....it takes an army to envoke my anger.
Sikuliwaza hilo la lugha, ila sasa kama wameamua kufanya hivyo tutafanyaje?!😳
 
Back
Top Bottom