Makapuku Forum

Makapuku Forum

yani ukifungua Jf na kuingia kwenye headline unakutana na "Makapuku Forum" kila wakat iko first kwa sababu inachangiwa kila wakati.
utafikiri imekuwa BREAK NEWS vileeee, au taarifa ya msiba.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
basi hao wanaojiona wakongwe Wamevimba kwa hasira[emoji16] mpaka wanatakà kupasuka vileee
Tumewakalisha chini.
Huoni leo tuna mgeni wetu tunayemheshimu Mkuu mshana jr amekuja kututembele sie MAKAPUKU.
 
Back
Top Bottom