sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Faini ya Nini? Kuna kupitiwa, omba mungu arudi salama.... Ayamalize kiumeeee..namtafuta hapa nina hasira nae akirudi tu nampiga faini shwain jazz band
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faini ya Nini? Kuna kupitiwa, omba mungu arudi salama.... Ayamalize kiumeeee..namtafuta hapa nina hasira nae akirudi tu nampiga faini shwain jazz band
hahaaahaaa.......Nimejaribu kufanya survey naona leo thread nyingi haziendi kabisa makapuku tuko busy kutafuta haki zetu.
Tumewakalisha chini.yani ukifungua Jf na kuingia kwenye headline unakutana na "Makapuku Forum" kila wakat iko first kwa sababu inachangiwa kila wakati.
utafikiri imekuwa BREAK NEWS vileeee, au taarifa ya msiba.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
basi hao wanaojiona wakongwe Wamevimba kwa hasira[emoji16] mpaka wanatakà kupasuka vileee
Nimeipenda avatar yako[emoji2] [emoji2]Huu mchezo hautaki hasira..
Lazima waisome namba
Mbona ghafla imekuwa shemejii??Umenena shemeji
Hapana Mkuu, nilikuwa naongezea kukoleza point yako.Vp tena ndugu? Kuna ubaya?
Na tumeamua vilivyo kulitawala, karibu kwa mawazo mazuri katika TEAM MAKAPUKU.Hahahha.....marahaba.
Naona mnalitawala jukwaa.
Safi sana
Speed ya light wasomi wanaitaJamani mpoo punguzeni mwendo mnatimua vumbi sana
Hata mie nashangaa!!Vp tena? Watu wamelala nini?
Naona tumebaki mie na wewe tunalikishanaHata mie nashangaa!!
Azam v Mwarabu......Naona tumebaki mie na wewe tunalikishana
Hata mie nashangaa!!