UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,673
- 12,265
Hivi ni Ibra ndio ndio anatakiwa anunue Actros benz truck ?? Sijui hata kama anaweza toa Leyland Comet inayotengenezwa hapa South AfricaKweli tumetoka mbali sanaa, watu walikuwa wanajisifia jinsi wanavyomiliki gari za kifahari na jinsi wanavyoangaliana kwenye foleni, sisi na baiskeli zetu ndo tukakutana,
Ibra dawa yake ni Actros tu akiweza ainunue sio kulia lia bure tu hapa