Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kesho guys
a72f858e0f9e14d8442547af057889e3.jpg
 
Swala la Pique hawalioni.... Wanataka penati lol
tena walibebwa sana..

Iniesta pale alipodaka mpia alifaa apigwe red card kwa sababu alikiwa mchezaji wa mwisho.

na Gerrad Pique pia alifaa apigwe red card kwa kumshika miguu mchezaji wa Atletico kwa makusudi kabisa.

sasa huoni hapo pia walibebwa sana..
 
Back
Top Bottom